Mji mzito huu

Mji mzito huu

Dukani ana ndoo nyingi[emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787]....walisema fans wake!

Hivi zile ndoo dukani kwake ni za nini

Sent using Jamii Forums mobile app

Isikute Ndo hiriz za kuvutiwa wateja, halafu pachafu, yan ustaa wote na uzuri wote anaenda kuweka duka tandale jaman , bongo hakunaga Staa mwenye duka masaki zaidi ya jacky mengi , yan wengi wanakimbilia sinza na kinondon halafu et wanajiita mastaa , mxiew

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Sio gundu binamu , Yule akili hana , Mara Mia lulu kidogo , ingawa na yeye kaamua kuolewa yan atadoda, Yule angendelea tu kuwa single angedanga mpaka nchi za nje, kangekua mbali , Ila si haba atleast , maana anaishi maisha mazuri Hana shida , Ila still angekua na uwezo wa kuwa mbali zaidi

Lulu angetaka kufanikiwa xaidi angeachana na mambo ya ndoa, coz she is a star , na lulu Ana nyota kali na mzuri , angepiga madili ya maaan, Sasa kamuona majini Ndo tajir mxieew akaamua kujifunga

Sent from my iPhone using JamiiForums
Huyo Lulu nae kwisha habaree yake!...hana tena raha maskini!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Isikute Ndo hiriz za kuvutiwa wateja, halafu pachafu, yan ustaa wote na uzuri wote anaenda kuweka duka tandale jaman , bongo hakunaga Staa mwenye duka masaki zaidi ya jacky mengi , yan wengi wanakimbilia sinza na kinondon halafu et wanajiita mastaa , mxiew

Sent from my iPhone using JamiiForums
Sasa tandale si ndo kwa baba watoto wake?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]...anataka iwe rahisi kuonana!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Isikute Ndo hiriz za kuvutiwa wateja, halafu pachafu, yan ustaa wote na uzuri wote anaenda kuweka duka tandale jaman , bongo hakunaga Staa mwenye duka masaki zaidi ya jacky mengi , yan wengi wanakimbilia sinza na kinondon halafu et wanajiita mastaa , mxiew

Sent from my iPhone using JamiiForums
ally remtullah na sheria ngowi wanaduka masaki, binamu unasahau vipi?

Au hawa sio celebrities?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unanitaka au ? Pesa unazo au unaleta mdomo mxieew , kwanza wanaume mnaoingia celebrities forum hamna, si bora nikadange jamii intelligence au jukwaa la siasa🤣🤣

Sent from my iPhone using JamiiForums

Nisamehe bure siku zote najua wa kiume wewe ila nilimefuatilia hili andiko huku nikasema kama wa kiume basi utakuwa rafiki yake dozen
 
Back
Top Bottom