cariha
JF-Expert Member
- Apr 9, 2015
- 22,077
- 46,549
Zari ni hustler yule tofauti na mastar wanawaza kudanga tu imagine zari alimsaidia diamond had mawazo ya msingi tofauti na kina wema, hamisa na tanasha wao wa nasubiria kubebwa bebwa tu.
Kweli zari ni smart kwa kiasi kikubwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli zari ni smart kwa kiasi kikubwa
Zari hajasoma Ila yuko exposed , maisha aliyoishi na wanaume aliotoka nao si mchezo, lazima awe smart , hatokag na vinuka mkojo, domo mwenyewe pesa na umaarufu Ndo vimemvutia zari , huoni sasa hvi anapiga madili and she is ambassador wa makampuni hapa Tz , Ila Ma ex wa domo wengine wote vilaza hakuna aliyenufaika hata tanasha nae hajui kujibeba , now angekua mbali , zari mjanja bwana
Sent from my iPhone using JamiiForums
Sent using Jamii Forums mobile app