Mji mzito huu

Mji mzito huu

Hahahah eee mji mzito kwakweli kwaio haric na mauki wanafokonyoana hahahahhha cpatii picha haric anavo toa miguno na kukatikia juu hahaha
Yule wa utalii kabla sijaambiwa nilivokuwa namuona alivo mlege mlege mhhh nikawa namu doubt, kweli mkewe msiri huyo mwana saikolojia ndo kakubuhu baby wa mchungaji wa mle clouds anayejifanya mchungaji

Sent using Jamii Forums mobile app

am better here
 
Yule ndo ana mpakua yule fake pastor anayejifanya motivational huyo mwanasaikolojia tabia zake hazieleweki dume zima ni kupost ma selfie Mara misosi anajifanya anapendana kumbe majanga tupu.

Yule anajificha mno mana ila hamna siri na huyu waziri wa Environment naye eti walitaka kuwa Raisi wa nchi aisee, nchi ingepata ukame bure sasa mwanaume mfanyaji na mfwanyaji uwezo wao huwa mdogo

Sent using Jamii Forums mobile app
Watu wanawish wawe na mume kama mauki hahaha kumbe jamaa fyongooo

am better here
 
Wale wanadanga ka wanawake mbona hawawezi kusubiria mmoja atleast hao ni class tofauti na hawa wengine.
Huyo.aliyepangiwa na fa fa fa zamani sasa kapangiwa apartment na mzungu huko masaki mambo yake safi hatari hana shida yoyote

Sent using Jamii Forums mobile app
Noeli uyo

am better here
 
Na nguo tutauza kusave wapendanao[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hivi ndoa yao lini nasikia kisura na urembo wake Pete anaivaa kwa nadra sana. Soon tutasikia binti kaiuza😁
 
Yani pesa ni kichaka cha uovu, watu wanamuonea wivu mtoto wa watu kuwa kapata bahati , wangejua mambo mazito anayo kumbana nayo mmh , Yule mtoto ni super woman , anastahili tuzo , waoneni tu watu insta Ila msitamani maisha yao maana viatu vyao vizito


Sent from my iPhone using JamiiForums
ila anaonekana kabisa hana furaha sura imekosa nuru kabisa maskini bora enzi anakula vichwa vya juu kwa juu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mke tena wakati kapangiwa apartment masaki na muzungu? Au ndio sidechick wake?

Mmmh.. !

Zachini nikwamba mkolomije alimpa kijana fulani jina wala sura simjui, apartment kule upper residential areas ili awe anamtelezesha taroni popote ajisikiapo sasa kijana kula ugali tu akaona ameloose appetite, akatafuta appetizer kinyume na mkataba wa big boss, alivyogundua alipanick fukuza kijana na kuchukia sana kiasi cha kuanzisha kampeni kama sehemu ya kutolea hasira.

Yasemwayo Yapo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa pazito..
 
Kuna vitu vingine vinatia hadi wasiwasi

Dj dommy kaenda mjengoni kavuta mke ndani,Kenedytheremedy kavuta mke,Dj Zero kavuta mke,Adam ana jiko..wewe upoupo tu,lazima watu wawe na mashaka

Anyway,watajua wenyewe
Kwahiyo wenzie wote wanawake kasoro TWANGALA
 
Ujue ni rahisi kufahamu tabia/kalibu za watu kwa kufatilia tu salamu zao, maongezi yao, kucheka kwao, uvaaji wao, utembeaji wao, utembeaji wao, ishara zao, vyakula vyao n.k.
Nawaona wambea mnamumunya ubuyu wa codes a.k.a ubuyu wa chuma
Amakweli CMG pazito
 
Back
Top Bottom