Mji mzito huu

Mji mzito huu

That hug is so deep though , mdomo koma umbea huu warumi mie nisije Kufa mdomo Wazi kwa ajili ya umbea 🤣

Niliwapa trailer naona wenyewe wameamua kuwathibitishia umma, ngoja nijipongeze na whisky mie

Sent from my iPhone using JamiiForums
hahahahaaa ukifa mdomo wazi watakuwekea gunzi
 
Hahahaaaaaa
Nilipoona hii clip insta nikajua itakuwa ishafika huku [emoji1] [emoji1] [emoji1]

Sent using Jamii Forums mobile app

Haya mshapata proof Sasa , sio mnasema mi nazusha wakati wenyewe hapo mmeona wanabembelezanq hadharani kwa raha zao, Na hata hawajali, b dodo sijui kampa nn Kaka wa watu halafu nasikia mmmg mdomo koma nisije rushiwa uchawi wa bluetooth mdomo ukapinda mie

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
hilo kumbatio sio la kawaida aisee,halafu mchizi kajilaza kabisa kifuani kwa Boss mfupi

Nilifanya kazi nzito kuwaaminisha watu , naona Leo vichwa ngumu watakua wameelewa kuwa kwa nini warumi navuma sichuji kwa umbea , hapa ni fact tu sinaga story za kutunga Mimi hata siku moja

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Haya mshapata proof Sasa , sio mnasema mi nazusha wakati wenyewe hapo mmeona wanabembelezanq hadharani kwa raha zao, Na hata hawajali, b dodo sijui kampa nn Kaka wa watu halafu nasikia mmmg mdomo koma nisije rushiwa uchawi wa bluetooth mdomo ukapinda mie

Sent from my iPhone using JamiiForums
Bwana weee tupe umbeiyaaaaa wambeiyaaa tumumunyeee malizia basi kusema mdomo ukipinda tutakusaidia kuuvuta unyooke
 
aisee,hivi kweli wanabanduana hao?

Fuatilia vzur hii thread , then jumlisha Na picha ya Leo then utapata jibu , Hao ni wapenzi wa mda mrefu tu , bora hata wenyewe wamethibitisha... kukumbatiana gan huko , wanaume hawashikanag hvyo halafu anamlalia kabisa mwanaume mwenzie comfortable

B Dee haya mambo Ndo alikua anapenda kitambo tu , anataka na yeye ajulikane, kachoka kufichwa kama hamisa mobeto , lol

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Bwana weee tupe umbeiyaaaaa wambeiyaaa tumumunyeee malizia basi kusema mdomo ukipinda tutakusaidia kuuvuta unyooke

Loh unadhan mi mgen na wambea wa jamii forum , dakika mbili wanakugeuka akuu , sitaki mie yasijenikuta maana huu umbea ni wa watu wakubwa tena tukio limetokea juzi tu hapa, dunia ina mambo mmh

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Fuatilia vzur hii thread , then jumlisha Na picha ya Leo then utapata jibu , Hao ni wapenzi wa mda mrefu tu , bora hata wenyewe wamethibitisha... kukumbatiana gan huko , wanaume hawashikanag hvyo halafu anamlalia kabisa mwanaume mwenzie comfortable

B Dee haya mambo Ndo alikua anapenda kitambo tu , anataka na yeye ajulikane, kachoka kufichwa kama hamisa mobeto , lol

Sent from my iPhone using JamiiForums
mhhh mji sio mzito tuu bali ni rojo rojo
 
Loh unadhan mi mgen na wambea wa jamii forum , dakika mbili wanakugeuka akuu , sitaki mie yasijenikuta maana huu umbea ni wa watu wakubwa tena tukio limetokea juzi tu hapa, dunia ina mambo mmh

Sent from my iPhone using JamiiForums
Unafeli Gwiji hapo tuuu. Ww achia bomu kwa code asielewa kivyake tutatafutana hata pm huko kuidadavua code iloshindikana lol
 
Fuatilia vzur hii thread , then jumlisha Na picha ya Leo then utapata jibu , Hao ni wapenzi wa mda mrefu tu , bora hata wenyewe wamethibitisha... kukumbatiana gan huko , wanaume hawashikanag hvyo halafu anamlalia kabisa mwanaume mwenzie comfortable

B Dee haya mambo Ndo alikua anapenda kitambo tu , anataka na yeye ajulikane, kachoka kufichwa kama hamisa mobeto , lol

Sent from my iPhone using JamiiForums
ila dizzimonline nao wako fasta sana wakalinasa lile tukio kiulaiiiniiiii,hakuna channel nyingine waloipata ile muvi zaidi yao
 
IMG_2765.JPG

IMG_2766.JPG

IMG_2767.JPG

Faraja jamani Faraja
 
Huu uzi nimeufuatilia ila nilikuwa sijauelewa,baada ya kuitizama hii picha na kurudia post ya Warumi,ndio nikajua character katika huu uzi,duu basi kweli Dar pazito

Naona dizzmoline wanaingiaga huku pia maana sio kwa kuwa zoom huko , nawashukuru kwa kunilaiShia kaz. Naona watu wameanza kuelewa Sasa picha kamili

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom