warumi
R I P
- May 6, 2013
- 16,218
- 18,440
- Thread starter
- #861
Ahahah hapo ndo ninapowapendea wambea wenzangu, mpo fastaaa
Mfiwa anapewa faraja kwa raha zake , kwani nani kanuna? Kwan Pete sh ngap? , watu wanalilia ndoa kumbe mwenzao mume wa mtu ( in mobetos voice ) ahaah
Sent from my iPhone using JamiiForums