Madimba jr
JF-Expert Member
- Aug 12, 2017
- 1,577
- 3,146
hilo kumbatio sio la kawaida aisee,halafu mchizi kajilaza kabisa kifuani kwa Boss mfupiHahahaaaaaa
Nilipoona hii clip insta nikajua itakuwa ishafika huku [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Sent using Jamii Forums mobile app
A hug for Sorry....so painfulView attachment 1037977
hahahahaaa ukifa mdomo wazi watakuwekea gunziThat hug is so deep though , mdomo koma umbea huu warumi mie nisije Kufa mdomo Wazi kwa ajili ya umbea 🤣
Niliwapa trailer naona wenyewe wameamua kuwathibitishia umma, ngoja nijipongeze na whisky mie
Sent from my iPhone using JamiiForums
A hug for Sorry....so painfulView attachment 1037977
aisee,hivi kweli wanabanduana hao?Hvi lulu yuko wapi , mchaga asije kuvua Pete kwa hasira , watu mahaba mazito msibani🤣🤣
Sent from my iPhone using JamiiForums
Hahahaaaaaa
Nilipoona hii clip insta nikajua itakuwa ishafika huku [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Sent using Jamii Forums mobile app
hilo kumbatio sio la kawaida aisee,halafu mchizi kajilaza kabisa kifuani kwa Boss mfupi
Bwana weee tupe umbeiyaaaaa wambeiyaaa tumumunyeee malizia basi kusema mdomo ukipinda tutakusaidia kuuvuta unyookeHaya mshapata proof Sasa , sio mnasema mi nazusha wakati wenyewe hapo mmeona wanabembelezanq hadharani kwa raha zao, Na hata hawajali, b dodo sijui kampa nn Kaka wa watu halafu nasikia mmmg mdomo koma nisije rushiwa uchawi wa bluetooth mdomo ukapinda mie
Sent from my iPhone using JamiiForums
aisee,hivi kweli wanabanduana hao?
Bwana weee tupe umbeiyaaaaa wambeiyaaa tumumunyeee malizia basi kusema mdomo ukipinda tutakusaidia kuuvuta unyooke
mhhh mji sio mzito tuu bali ni rojo rojoFuatilia vzur hii thread , then jumlisha Na picha ya Leo then utapata jibu , Hao ni wapenzi wa mda mrefu tu , bora hata wenyewe wamethibitisha... kukumbatiana gan huko , wanaume hawashikanag hvyo halafu anamlalia kabisa mwanaume mwenzie comfortable
B Dee haya mambo Ndo alikua anapenda kitambo tu , anataka na yeye ajulikane, kachoka kufichwa kama hamisa mobeto , lol
Sent from my iPhone using JamiiForums
Unafeli Gwiji hapo tuuu. Ww achia bomu kwa code asielewa kivyake tutatafutana hata pm huko kuidadavua code iloshindikana lolLoh unadhan mi mgen na wambea wa jamii forum , dakika mbili wanakugeuka akuu , sitaki mie yasijenikuta maana huu umbea ni wa watu wakubwa tena tukio limetokea juzi tu hapa, dunia ina mambo mmh
Sent from my iPhone using JamiiForums
ila dizzimonline nao wako fasta sana wakalinasa lile tukio kiulaiiiniiiii,hakuna channel nyingine waloipata ile muvi zaidi yaoFuatilia vzur hii thread , then jumlisha Na picha ya Leo then utapata jibu , Hao ni wapenzi wa mda mrefu tu , bora hata wenyewe wamethibitisha... kukumbatiana gan huko , wanaume hawashikanag hvyo halafu anamlalia kabisa mwanaume mwenzie comfortable
B Dee haya mambo Ndo alikua anapenda kitambo tu , anataka na yeye ajulikane, kachoka kufichwa kama hamisa mobeto , lol
Sent from my iPhone using JamiiForums
Huu uzi nimeufuatilia ila nilikuwa sijauelewa,baada ya kuitizama hii picha na kurudia post ya Warumi,ndio nikajua character katika huu uzi,duu basi kweli Dar pazitoA hug for Sorry....so painfulView attachment 1037977
inatisha sana babu hii dunia nomaHuu uzi nimeufuatilia ila nilikuwa sijauelewa,baada ya kuitizama hii picha na kurudia post ya Warumi,ndio nikajua character katika huu uzi,duu basi kweli Dar pazito
Huu uzi nimeufuatilia ila nilikuwa sijauelewa,baada ya kuitizama hii picha na kurudia post ya Warumi,ndio nikajua character katika huu uzi,duu basi kweli Dar pazito
Alivyomshikiria sasahilo kumbatio sio la kawaida aisee,halafu mchizi kajilaza kabisa kifuani kwa Boss mfupi