Mji mzito huu

Alivyokuwa anamuangalia mayonise sasa wwkati anaweka ua utasema ndio mama mwenye nyumba umechafua uwanja wake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisee! mji mzito huu kuliko gunia la chumvi, mtoto wa watu atachoshwa na pete ya uchumba na akiipata hiyo ndoa itakuwa nzito kuliko mji huu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…