Mji mzito huu

Mji mzito huu

kuna mshkaji yupo karibu sana na CLASS, huyo mshkaji mi homeboy sana tu, ndio kanipa kuwa kipindi CLASS ana bif na Biikuminambili, chanzo ni CLASS kukataa KUTUNUKIWA mzigo!
Yani mimi mwenzenu katika jambo linaloniwia gumu kulikubali ni hilo la B12! Nashindwa kabisa kuamini [emoji24][emoji24]


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
kuna mshkaji yupo karibu sana na CLASS, huyo mshkaji mi homeboy sana tu, ndio kanipa kuwa kipindi CLASS ana bif na Biikuminambili, chanzo ni CLASS kukataa KUTUNUKIWA mzigo!



code haifanyi kazi tena 😂😂😂😂😂
 
Siku hizi hakuna cha les wig wala make up sijui kushona nguo,kuigiza hata kwenye huba hakuna ni kujifungia ndani daily

Zile mbenjuo sasa mwanzon wambea tukadhan ni style mpya ya binti kumbe pesa imekata na jamaa busy kusomesha mdogo mtu

Alichoacha hoi wananzengo ni kuibuka kwa tetesi za kupigwa mara paaap bint kakurupukia media tour kukanusha na mbwembwe za kusave valentine,baada ya valentine kimyaaa ila kama anasoma hapa sooon atatuumbua kwa kwenda kugawa misaada

Saivi ni zamu yake kusota alisotesha sana wake za watu ndoa alizitingisha vya kutosha.
Nasikia alipewa kipigo cha mbwa koko na pete akavua.
Binti ana moyo sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom