Slim5
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 28,203
- 37,906
Pole Mkuu! Namzungumzia B21 na Mkali wa Ngoma "Maisha na Mziki"Na wewe umeanza code sasa
.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole Mkuu! Namzungumzia B21 na Mkali wa Ngoma "Maisha na Mziki"Na wewe umeanza code sasa
.
Yani mimi mwenzenu katika jambo linaloniwia gumu kulikubali ni hilo la B12! Nashindwa kabisa kuamini [emoji24][emoji24]
Sent from my iPhone using JamiiForums
kuna mshkaji yupo karibu sana na CLASS, huyo mshkaji mi homeboy sana tu, ndio kanipa kuwa kipindi CLASS ana bif na Biikuminambili, chanzo ni CLASS kukataa KUTUNUKIWA mzigo!
Kwani class kwa kiswahili ni nini si ni darasa vilecode haifanyi kazi tena [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nipo maa naona majukumu yamekuzidi,unaonekana kwenye ubuyu tu lol!
Ka bidada kana moyo hakaAtafanyaje, lazima abanane tu hahahah. Ila wanaume wa dar sijui wakoje
Sent using Jamii Forums mobile app
@Ankoo yuko vizuri sekta hizi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]anga hizi upo vizuri. Daah kumbe wanagombania kingineee
Yaan we acha tu, ukichanganya na kulea sasa ndio inakuwa balaaNipo maa naona majukumu yamekuzidi,unaonekana kwenye ubuyu tu lol!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani bado wanabifu hao watu????kuna mshkaji yupo karibu sana na CLASS, huyo mshkaji mi homeboy sana tu, ndio kanipa kuwa kipindi CLASS ana bif na Biikuminambili, chanzo ni CLASS kukataa KUTUNUKIWA mzigo!
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]@Ankoo yuko vizuri sekta hizi[emoji23][emoji23]
Siku hizi ukiona wanaume wanapigana inabidi uhoji chanzo vizuri maana waweza kuta wanagombea mjurubeng
Sent using Jamii Forums mobile app
Nasikia alipewa kipigo cha mbwa koko na pete akavua.Siku hizi hakuna cha les wig wala make up sijui kushona nguo,kuigiza hata kwenye huba hakuna ni kujifungia ndani daily
Zile mbenjuo sasa mwanzon wambea tukadhan ni style mpya ya binti kumbe pesa imekata na jamaa busy kusomesha mdogo mtu
Alichoacha hoi wananzengo ni kuibuka kwa tetesi za kupigwa mara paaap bint kakurupukia media tour kukanusha na mbwembwe za kusave valentine,baada ya valentine kimyaaa ila kama anasoma hapa sooon atatuumbua kwa kwenda kugawa misaada
Saivi ni zamu yake kusota alisotesha sana wake za watu ndoa alizitingisha vya kutosha.
[]kumbe tunaotoka bilabila tupo wengi eti mkuu???
[emoji23][emoji23][emoji23] watu wa "i.t" 2naserereka na code kiaiana.Ndio. Alikuwa anataka kumpitisha CLASS kile kinachochimbwa pembeni ya barabara! CLASS akawa mbishi! Sa Sijui walimanzanaje
Sent using Jamii Forums mobile app
Alieleta hizo code apaliwe na mate akufe
Unanitag binamuu!!!Hatar kabisa , mji una joto huu
Sent from my iPhone using JamiiForums