Echolima1
JF-Expert Member
- Nov 2, 2019
- 9,662
- 8,023
"Lango la Ushindi" la Bint Jbeil laangukia mikononi mwa majeshi hodari ya Israel!!
Kikosi kazi cha 'Argentina' cha IDF imekamilisha shughuli zake kwa kuuteka mji wa Bint Jbeil kufuatia kutekwa kwa mji wa kusini mwa Lebanon, ambao hapo awali ulielezewa na Marehemu Gaidi Hassan Nasrallah kama "mji mkuu wa upinzani"
Sasa hivi huko kuzimu anashuhudia mji huo ukiwa mikononi mwa Israel kinyume na matarajio yake!!