Mji wa Dar es Salaam ni mishe mishe

Mji wa Dar es Salaam ni mishe mishe

Mkuu inamana wewe huoni nyomi la mbagala?😂
Mbagala inajazwa na watu sababu ya centercity tu. Wengi unaowaona pale wanatoka maeneo mengine makubwa/yenye watu wengi kama chamazi/mbande, tuangoma mpaka mipeko, vikindu mpaka kisemvule mpak mkuranga ni saw na kusems mbezi luisi au banana
 
Salamu wakuu.

Mji huu Dar es salaam ni Mji mzuri sana katika mishe za hapa na pale. Mji huu haumkatai mtu kama ukiweka starehe mbele.

Pisi za Mji huu hazina upendo kwa apeche alolo. Pisi za Mji huu zinataka kuona unatembea na AC yako ili wakupe unapopataka lakini hawakupi moyo wao.

Huko Mbagala watu wamevurugwa yaani naweza kusema ule ni Mkoa ambao upo ndani ya Jiji hili Dar es salaam.

Huu ndio Mji unaotoa hela na kuzitawanyisha kwa watu wamikoani. Hata ufanye nini huwezi kuukataa huu Mji wa Dar.

HUU mji ni kama maji vile usipoyaoga, utakunywa au kunawa yaani huwezi kuukimbia.

Kwa ufupi Jiji la Dar es salaam hauna maadui
Yaani Rafiki kwa kila mkoa.


Utaitwa Handsome hata kama sura mbaya, na hii ndo Daslam unakana kwenu huna haya?
Rudini kwenu Katalamba na Simiyu huko
 
Nimeishi mikoa msingi sana, Dar es salaam ukiwa na pesa na kazi binafsi is one of the best city to live...

Ila Dar es salaam bila pesa hapafai hata kidogo, na nikisema pesa simaanishi vihela, hapana.

Ubaya wa Dar es salaam:

1. Ukiwa mwajiriwa hapafai.
2. Kulea watoto sio pazuri.
3. Ni mji wa watu waongo ongo.

Matapeli wana tamaa na vitu vidogo
 
Back
Top Bottom