Mji wa Ifakara ni mzuri kuliko Njombe mjini


Ni kweli tupu. Baada ya Manispaa ya Moro, inafuata Ifakara!
 
Angalia population density utapata ukubwa wa sehemu husika mfano hapo tunduma eneo lake Ni dogo mno ukilinga Nisha na makambako yenye km za mraba 885 huwezi ukaibeza makambako Ni kubwa mno
 
Moja ya project ambazo zinazidi kukuza vi sub town Kama kipagamo ndani ya mji wa makambako
 
Angalia population density utapata ukubwa wa sehemu husika mfano hapo tunduma eneo lake Ni dogo mno ukilinga Nisha na makambako yenye km za mraba 885 huwezi ukaibeza makambako Ni kubwa mno
Siyo kweli
 
Siyo kweli
Tupe km za mraba za tunduma Kama una bisha maana wenzio tumefatilia usije ukaunganisha ihanda, vwawa na mlowo ambako ndo makao makuu ya mkoa wa songwe na usije ukachanganya na upande wa Zambia na ukitaka kupata jibu Google hapo wanakupa majibu Ni km za mraba 86 , Sasa utalinganisha na 886 kaka duh 😎 ambalo kwa makambako Ni eneo la kata moja tu Kama lyamkena ndo yenye km za mraba hizo
 

Mji wa Makambako una square kilometa 886? Yaani kilometa karibu 40x 22?
You are joking! Kama unazungumzia Eneo la kijografia labda, ambayo siyo hoja. Hoja ni mji angalau urban proper(makaz ya mjini pekee kwa level ya Kitanzania kwani Urban proper kwa wenzetu ni kama Posta, Makumbusho Dar!) Hivyo narudia, si kweli!
 
 

Kwan ukubwa wa mji tuna angalia nini si kijiografia na eneo ambalo Lina kuwa coverd na makazi
 
Makambako sio kubwa kushinda tunduma kwani kuna miji mikubwa kwa idadi ya watu na miji mikubwa kwa makazi vyote hivyo tunduma iko juu
Sorry km squre za eneo la makazi tunduma unazifahamu na makambako unazifahamu hebu jaribu kufatilia hizo takwimu ndo utajua Ni nini namaanisha
 

Hapo Ni kata mbili tu zilizopo pembezon zingine zote 10 zipo town na Ni kubwa sio kata ndogo ndogo kama tunduma nimekupa mfano tu lyamkena Ina km 86 hebu nambie katikati ya mji wa tunduma wana km ngapi za lami za mitaa kibiashara na mapato kwel tunduma imeizid makambako ila eneo la makazi hapana
 
Hapa Ni ikelu project zinaendelea Ni sub town iliyo ndani ya mji wa makambako takriban km 20 kutoka katikati ya mji wa mkambako na makazi yameungana songea road hii ndo makambako mpya ndani ya mkoa wa njombe mambo Ni fire kila kona
 

Utakua hujui hesabu nafikiri! Makambako kwamba inaweza kuifikia Manispaa ya Ilala Dar? Au karibu ya mji wote wa Dodoma? Kapige hesabu vizuri!
 
Kuanzia kibaoni,mjini hadi Lipangalala,mjini ni wa moto sana.
Hata harakati za kibiashara Ifakara ziko juu sana.

Ifakara iwe mkoa alafu wilaya zake ziwe Mlimba,malinyi,Ulanga(mahenge) na Kilombero(kidatu)
Wewe ni mluguru enheee,basi kaa huko kwenu ifakara...mbona wa njombe hatujifananishi,yaani tunashindana na wakati wetu sisi wenyewe..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…