Mji wa Ifakara ni mzuri kuliko Njombe mjini

Wakati wa kung'olelea ni kipindi cha masika mvua ni nyingi sana, so kupooza ni kawada kwasababu watu wengi wanashindwa kutoka majumbani kwao sababu ya mvua na radi nyingi. Punguza vikwazo Ifakara kumekucha ndugu.
Sasa Mji wa msimu si ni sawa na gulio? Gulio town 😂😂.
 
wahaya huwa wanajifanya wamejenga kwao, ila ukweli ni kwamba, watu pekee ninaowapongeza kwa kujenga kwao ni wachagga, wamejitahidi sana kwa hilo na vijiji vya uchagani ni tofauti kabisa na vijiji vya mikoa mingine. tuwapongeze.
Sasa hapa ndo umeongea nini
 
Njombe nimeishi miaka 3,nakujua hadi Lupembe,ukalawa,made kesho,kifanya,ikondo.

Njombe mjini ni sehemu ndogo sana,toka pale Hospital ya wilaya hadi uwanja wa ndege mji umeisha
Mwongo kabisa yaaani mji uliotawanyika Ramadhani,Mji mwema,Uzunguni,Lunyanywi,Uwemba,Luponde,Unasema mji mdogo hebu niambie Jiji la Dar es Salaam lilivyo unafika bunju mwisho wa Dar,maili moja,Mkuranga na Pugu toka posta hadi mpakani ni almost 25 km je tuseme Dar haikua na hadhi ya jiji kwa udogo wake
 

Tatizo mnaogopa sana ushirikina njombe kuna hadi wanaigeria wanafanya biashara
 
Wakati wa kung'olelea ni kipindi cha masika mvua ni nyingi sana, so kupooza ni kawada kwasababu watu wengi wanashindwa kutoka majumbani kwao sababu ya mvua na radi nyingi. Punguza vikwazo Ifakara kumekucha ndugu.
Weak defence
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…