Mji wa Ifakara ni mzuri kuliko Njombe mjini

Mji wa Ifakara ni mzuri kuliko Njombe mjini

Wakati wa kung'olelea ni kipindi cha masika mvua ni nyingi sana, so kupooza ni kawada kwasababu watu wengi wanashindwa kutoka majumbani kwao sababu ya mvua na radi nyingi. Punguza vikwazo Ifakara kumekucha ndugu.
Sasa Mji wa msimu si ni sawa na gulio? Gulio town 😂😂.
 
Weee kwenu wapi acha kumwekua mwekua km lupatu.
Njombe kwetu looks like this 👇

Screenshot_20210806-204620.png


Screenshot_20210806-211204.png


Screenshot_20210806-211303.png


Screenshot_20210906-194410.png


Screenshot_20210906-194342.png


Screenshot_20210906-194426.png


Screenshot_20210906-195848.png
 
wahaya huwa wanajifanya wamejenga kwao, ila ukweli ni kwamba, watu pekee ninaowapongeza kwa kujenga kwao ni wachagga, wamejitahidi sana kwa hilo na vijiji vya uchagani ni tofauti kabisa na vijiji vya mikoa mingine. tuwapongeze.
Sasa hapa ndo umeongea nini
 
Njombe nimeishi miaka 3,nakujua hadi Lupembe,ukalawa,made kesho,kifanya,ikondo.

Njombe mjini ni sehemu ndogo sana,toka pale Hospital ya wilaya hadi uwanja wa ndege mji umeisha
Mwongo kabisa yaaani mji uliotawanyika Ramadhani,Mji mwema,Uzunguni,Lunyanywi,Uwemba,Luponde,Unasema mji mdogo hebu niambie Jiji la Dar es Salaam lilivyo unafika bunju mwisho wa Dar,maili moja,Mkuranga na Pugu toka posta hadi mpakani ni almost 25 km je tuseme Dar haikua na hadhi ya jiji kwa udogo wake
 
Yaani njombe wakinga na wabena wakiacha Mambo yakiwakiwaki ya kukazia wageni ni mkoa mmoja wenye maendeleo ya makubwa Sana yaani huku wachina na wakenya wapo Sana Ila wahindi na wachaga wanapigwa spanner na mkinga Ila bila ya hivyo njombe ni Moto wakuotea mbali

Tatizo mnaogopa sana ushirikina njombe kuna hadi wanaigeria wanafanya biashara
 
Wakati wa kung'olelea ni kipindi cha masika mvua ni nyingi sana, so kupooza ni kawada kwasababu watu wengi wanashindwa kutoka majumbani kwao sababu ya mvua na radi nyingi. Punguza vikwazo Ifakara kumekucha ndugu.
Weak defence
 
Back
Top Bottom