Mji wa Kahama unaongoza kuwa na vituo vya mafuta kuliko wilaya yoyote hapa Tanzania

Mji wa Kahama unaongoza kuwa na vituo vya mafuta kuliko wilaya yoyote hapa Tanzania

Ila mkuu hili la idadi ya vituo kufika hamsini sidhani kama ni sahihi labda ujumlishe na za vijijini ila lwa hapa mjini si sawa.

Mgoja nitajesabu zote halagu nitaweka hapa nipo hapa 101 kwa sasašŸ¤”šŸ¤”
 
Sehemu ambazo kwa biashara Tanzania ziko vizuri kwa mtafutaji ni kama ifuatavo, Kahama, katoro, lamadi, Igunga, manyoni, ifakara, Mbinga, Kasulu, Masasi, Mafinga, Njombe, Tunduma, Karatu, maeneo niliyotaja kibiashara yako vizuri na biashara inafanyika karibu mwaka mzima haitegemei msimu mmoja tu wa mazao. Na mengine ambayo sijayataja watasaidia wengine
Miji yenye hela ambazo sio za misimu ipo mingi yeye kaongelea uwekezaji wa shell kuwa wilaya ya kahama ndo inaongoza sidhani Kama amefanya utafiti wa wilaya zingine
 
Na. Kwasasa Kuna baadhi ya barabara visima vya mafuta vinaota Kama uyoga mfano kipande Cha barabara ya mbeya Hadi makambako shell zinajengwa za kutosha na hapa Ni mfano tu wa ufunguz wa shell mojawapo ko tembea kidogo ndo utajua uhalisia
FB_IMG_16447953033725616.jpg
FB_IMG_16447953197164194.jpg
 
Sehemu ambazo kwa biashara Tanzania ziko vizuri kwa mtafutaji ni kama ifuatavo, Kahama, katoro, lamadi, Igunga, manyoni, ifakara, Mbinga, Kasulu, Masasi, Mafinga, Njombe, Tunduma, Karatu, maeneo niliyotaja kibiashara yako vizuri na biashara inafanyika karibu mwaka mzima haitegemei msimu mmoja tu wa mazao. Na mengine ambayo sijayataja watasaidia wengine
umeisahau nzega pia
 
Unaijua wilaya ya ilala?
Wanasema tembea uone sio kuhadithiwa bwana. Wilaya ya Kahama hipo mkoa Shinyanga na ukanda wa Ziwa Victoria.

Uzuri wa Kahama ni mji unaokua kwa kasi sana ukilinganisha na sehemu nyingine ambazo mpaka mkono wa Serikali kusukuma.

Kwa idadi ya vituo vya kujazia mafuta Kahama kukadilia vinafika 50 na kitu yani ushindwe wewe kujaza mafuta .

Mji wa Kahama fursa za biashara na mawazo mapya ya biashara yapo hapa.

Wahamiaji toka mikoa mbalimbali ni wengi yani kiufupi kuna idadi kubwa ya watu toka mikoa mbali mbali na nje ya nchi.

Kahama kimapato kiukweli hipo vizuri na ndio maana hata ripoti za mapato toka TRA utaja sana sehemu hii.

Halmashauri na wilaya ya Kahama zinajitahidi sana kuboresha baada ya kuwa manispaaa sasa.

Wadau na wengine mkiona mnabanana mjini maana kama Dar bila mtaji wa kuanzia milioni 30 wewe ni machinga.

Njoo mje mjionee fursa na kutoa mjini na kuleta huku kama mtalalamika.

Asanteni naelekea Mwanza sasa
 
Yaani unalinganisha Igunga na Kahama kwenye mzunguko wa Biashara?
Kahama iko juu kwa kila kitu compaired to Igunga
samahani napenda nihamie huko kahama maana hapa shelui pagumu sn unaweza niambia maeneno mazuri ya mzunguko wa biashara
 
samahani napenda nihamie huko kahama maana hapa shelui pagumu sn unaweza niambia maeneno mazuri ya mzunguko wa biashara
Funga safari nenda hapo kahama..ukafanye savei..zungukia mji mzima..tafuta bodaboda umwambie unachohitaji kujua mjini kahama atakupa maelekezo.

Karibu sana kahama.

#MaendeleoHayanaChama
 
Kutoka tazara had pugu viko vituo zaid ya 30 , mdau nadhan hajawah fika huku [emoji23][emoji23]

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
Ilala ni jiji la Dsm, lakini naona kabisa inafukuzana na Kahama Manispaa changa, hizo Sheli 30 kwa Kahama sio za kutafuta ni Barabara moja tu Rwanda Road, ambayo kwa siku hukosi semi trailer 300+ za mizigo, bado bus na private cars, Bajaj 1,500+, bado bodaboda.

Kwa mujibu wa sensa ya 2012, Kahama ni mji wa nane kwa idadi kubwa ya watu Tz, tusubirie sensa hii ya 2022, kama sio top 5 basi itakuwa inashindana na majiji makubwa Tz kwa idadi ya watu yaani Dar, Mwanza, Arusha, Mbeya, Tanga, Dom na Zanzibar. Nadhani miundo mbinu ikikaa sawa ni rahisi sana kwa Kahama kupata hadhi ya jiji kuliko Manispaa nyingi kongwe nchini

Kahama ni mji ambao kila siku unapokea wakazi wapya wa kudumu na wageni wanaopita tu. Karibuni Kahama.
 
Tatizo lako ugeni unakusumbua , tazara hadi pugu kwa huko kwenu n eneo la kutembea kwa miguu , ilala n kubwa sana zinaweza kua hata 250+ huko

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
Kahama sijui viongozi walilogwa na Nani?
Barabala za mitaa mbovu kupita maelezo,wameshindwa kujenga hata stendi ya mabasi.
 
Tatizo lako ugeni unakusumbua , tazara hadi pugu kwa huko kwenu n eneo la kutembea kwa miguu , ilala n kubwa sana zinaweza kua hata 250+ huko

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
Wewe kiazi sana, nimesema Ilala ni Jiji. Halafu eneo nalo lisema hata ulijui. Hiyo Tzr - Pugu unachapa kwa miguu vizuri tu lakini sio hiyo Rwanda Road nayo iongelea kwa miguu utaweza labda kama umehamua kujipa adhabu tu.

Dar ugeni hupi unauongelea labda? primary school Dar, Chuo kikuu Mlimani, kazi Dar hiyo Pugu - Tzr unayoisema utadhani ipo Jehanam na haifikiki [emoji38][emoji38][emoji38]
 
Back
Top Bottom