abnormal
JF-Expert Member
- May 6, 2017
- 541
- 1,319
mwakata kati katišKagongwa mbele kahama nyuma.
#MaendeleoHayanaChama
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mwakata kati katišKagongwa mbele kahama nyuma.
#MaendeleoHayanaChama
Miji yenye hela ambazo sio za misimu ipo mingi yeye kaongelea uwekezaji wa shell kuwa wilaya ya kahama ndo inaongoza sidhani Kama amefanya utafiti wa wilaya zingineSehemu ambazo kwa biashara Tanzania ziko vizuri kwa mtafutaji ni kama ifuatavo, Kahama, katoro, lamadi, Igunga, manyoni, ifakara, Mbinga, Kasulu, Masasi, Mafinga, Njombe, Tunduma, Karatu, maeneo niliyotaja kibiashara yako vizuri na biashara inafanyika karibu mwaka mzima haitegemei msimu mmoja tu wa mazao. Na mengine ambayo sijayataja watasaidia wengine
umeisahau nzega piaSehemu ambazo kwa biashara Tanzania ziko vizuri kwa mtafutaji ni kama ifuatavo, Kahama, katoro, lamadi, Igunga, manyoni, ifakara, Mbinga, Kasulu, Masasi, Mafinga, Njombe, Tunduma, Karatu, maeneo niliyotaja kibiashara yako vizuri na biashara inafanyika karibu mwaka mzima haitegemei msimu mmoja tu wa mazao. Na mengine ambayo sijayataja watasaidia wengine
Sio uongo, tembea home tu.Kuliko wilaya yoyote Tanzania?
Wanasema tembea uone sio kuhadithiwa bwana. Wilaya ya Kahama hipo mkoa Shinyanga na ukanda wa Ziwa Victoria.
Uzuri wa Kahama ni mji unaokua kwa kasi sana ukilinganisha na sehemu nyingine ambazo mpaka mkono wa Serikali kusukuma.
Kwa idadi ya vituo vya kujazia mafuta Kahama kukadilia vinafika 50 na kitu yani ushindwe wewe kujaza mafuta .
Mji wa Kahama fursa za biashara na mawazo mapya ya biashara yapo hapa.
Wahamiaji toka mikoa mbalimbali ni wengi yani kiufupi kuna idadi kubwa ya watu toka mikoa mbali mbali na nje ya nchi.
Kahama kimapato kiukweli hipo vizuri na ndio maana hata ripoti za mapato toka TRA utaja sana sehemu hii.
Halmashauri na wilaya ya Kahama zinajitahidi sana kuboresha baada ya kuwa manispaaa sasa.
Wadau na wengine mkiona mnabanana mjini maana kama Dar bila mtaji wa kuanzia milioni 30 wewe ni machinga.
Njoo mje mjionee fursa na kutoa mjini na kuleta huku kama mtalalamika.
Asanteni naelekea Mwanza sasa
samahani napenda nihamie huko kahama maana hapa shelui pagumu sn unaweza niambia maeneno mazuri ya mzunguko wa biasharaYaani unalinganisha Igunga na Kahama kwenye mzunguko wa Biashara?
Kahama iko juu kwa kila kitu compaired to Igunga
Kutoka tazara had pugu viko vituo zaid ya 30 , mdau nadhan hajawah fika huku [emoji23][emoji23]Unaijua wilaya ya ilala?
Funga safari nenda hapo kahama..ukafanye savei..zungukia mji mzima..tafuta bodaboda umwambie unachohitaji kujua mjini kahama atakupa maelekezo.samahani napenda nihamie huko kahama maana hapa shelui pagumu sn unaweza niambia maeneno mazuri ya mzunguko wa biashara
Hapo mjini hakuna Mwaka tumepumzika na uzinduzi wa Sheli za mafuta, nyingine wameamua kutujengea kwenye barabara za mtaani. [emoji38][emoji38][emoji38]Kahama changamoto ni barabara tu
Ilala ni jiji la Dsm, lakini naona kabisa inafukuzana na Kahama Manispaa changa, hizo Sheli 30 kwa Kahama sio za kutafuta ni Barabara moja tu Rwanda Road, ambayo kwa siku hukosi semi trailer 300+ za mizigo, bado bus na private cars, Bajaj 1,500+, bado bodaboda.Kutoka tazara had pugu viko vituo zaid ya 30 , mdau nadhan hajawah fika huku [emoji23][emoji23]
Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
Tatizo lako ugeni unakusumbua , tazara hadi pugu kwa huko kwenu n eneo la kutembea kwa miguu , ilala n kubwa sana zinaweza kua hata 250+ hukoIlala ni jiji la Dsm, lakini naona kabisa inafukuzana na Kahama Manispaa changa, hizo Sheli 30 kwa Kahama sio za kutafuta ni Barabara moja tu Rwanda Road, ambayo kwa siku hukosi semi trailer 300+ za mizigo, bado bus na private cars, Bajaj 1,500+, bado bodaboda.
Kwa mujibu wa sensa ya 2012, Kahama ni mji wa nane kwa idadi kubwa ya watu Tz, tusubirie sensa hii ya 2022, kama sio top 5 basi itakuwa inashindana na majiji makubwa Tz kwa idadi ya watu yaani Dar, Mwanza, Arusha, Mbeya, Tanga, Dom na Zanzibar. Nadhani miundo mbinu ikikaa sawa ni rahisi sana kwa Kahama kupata hadhi ya jiji kuliko Manispaa nyingi kongwe nchini
Kahama ni mji ambao kila siku unapokea wakazi wapya wa kudumu na wageni wanaopita tu. Karibuni Kahama.
Taratibu watajenga tu.Kahama sijui viongozi walilogwa na Nani?
Barabala za mitaa mbovu kupita maelezo,wameshindwa kujenga hata stendi ya mabasi.
Nenda tu maana popote penye watu kuna pesasamahani napenda nihamie huko kahama maana hapa shelui pagumu sn unaweza niambia maeneno mazuri ya mzunguko wa biashara
Wamezidiwa na Kakonko!Taratibu watajenga tu.
Wewe kiazi sana, nimesema Ilala ni Jiji. Halafu eneo nalo lisema hata ulijui. Hiyo Tzr - Pugu unachapa kwa miguu vizuri tu lakini sio hiyo Rwanda Road nayo iongelea kwa miguu utaweza labda kama umehamua kujipa adhabu tu.Tatizo lako ugeni unakusumbua , tazara hadi pugu kwa huko kwenu n eneo la kutembea kwa miguu , ilala n kubwa sana zinaweza kua hata 250+ huko
Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app