Abu Ubaidah Commando
JF-Expert Member
- Sep 8, 2016
- 7,591
- 6,946
Kahama karibu wataifikia igunga kwa kiwango kikubwa cha biashara![]()
Kwa kaskazini sidhani kama kuna wilaya inayofikia khm kwa maendeleo, labda barabara tu wamenyimwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kahama karibu wataifikia igunga kwa kiwango kikubwa cha biashara![]()
Hebu weka takwimu za vituo vya kujazia mafuta kwa kila wilaya kama unavyodai ndo tukubaliane na hoja yako.
Igunga uichanganye na Nzega labda ndio itafikia Kahama
Nimecheka sana huu ulinganifu.Bana ww Igunga iko chini sana Kwa KahamaKahama karibu wataifikia igunga kwa kiwango kikubwa cha biashara![]()
Hata njia ya Goba ina vituo vyakutoshaKutoka tazara had pugu viko vituo zaid ya 30 , mdau nadhan hajawah fika huku [emoji23][emoji23]
Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
Kahama ni Manispaa,na fuatilia takwimu za mapato Kwa Manispaa za Tanzania utaona inafanyajeKibaha ailinganishe na viwilaya vya moshi huenda wakalingana, kuifananisha na Halmashauri ya wilaya ya kahama ni kuikosea heshima kahama.
Kuna bank zina branches ndani ya mji wa Kahama. CRDB branch 3, NMB branch 2, Azania branch 2.Moja Kati ya mambo ya kufurahisha nilifika kahama usiku ile nashuka kwenye bus dereva Tax ananiambia boss karibu nikupeleke lodge nikamjibu sina pesa ananiambia usijali kupelekwa lodge ni bure, alinipeleka bure baada ya kufika akaniuliza vipi asubuhi unaendelea na safari nikuwahi kukurudisha stand? Nikamjibu ndiyo na kweli akanifata
Lodge nililipa 15k tu na iko standard sana yaan, nilikuja kugundua kuwa wenye lodge ndo huwa wanawalipa madereva tax ili wawaletee wateja maana kahama lodge ziko nyingi sana tena za maana ukifanya mchezo bila ubunifu hupati wateja, na pia mzunguko wa pesa ni mkubwa sana bank kwa town tu ziko zaid ya 10+ na NMB wakala wako kila Kona hutembei mita 100 bila kukutana na NMB/CRDB wakala na muda wote wako bize, Fursa za biashara ni nyingi sana kahama na bado gharama za maisha ni nafuu.
Kahama ni habari nyingine kwa sasa yaan ile situation tu niko nashuka kwenye bus napokelewa na dereva tax tena bure nikaepuka kunyeshewa mvua na nikapelekwa lodge ya maana na asubuhi nikafatwa bure kwa gharama ya lodge kwa 15k tu niliyolipia chumba niligundua Kuna ushindan mkubwa wa kibiashara, lakin pia mji umechangamka sanaKuna bank zina branches ndani ya mji wa Kahama. CRDB branch 3, NMB branch 2, Azania branch 2.
DTB
NBC
FINCA
TCB
Access Microfinance Bank
Equity bank
BOA bank
Standard chartered (Kakola)
Unaijua Tunduma?Wanasema tembea uone sio kuhadithiwa bwana. Wilaya ya Kahama hipo mkoa Shinyanga na ukanda wa Ziwa Victoria.
Uzuri wa Kahama ni mji unaokua kwa kasi sana ukilinganisha na sehemu nyingine ambazo mpaka mkono wa Serikali kusukuma.
Kwa idadi ya vituo vya kujazia mafuta Kahama kukadilia vinafika 50 na kitu yani ushindwe wewe kujaza mafuta .
Mji wa Kahama fursa za biashara na mawazo mapya ya biashara yapo hapa.
Wahamiaji toka mikoa mbalimbali ni wengi yani kiufupi kuna idadi kubwa ya watu toka mikoa mbali mbali na nje ya nchi.
Kahama kimapato kiukweli hipo vizuri na ndio maana hata ripoti za mapato toka TRA utaja sana sehemu hii.
Halmashauri na wilaya ya Kahama zinajitahidi sana kuboresha baada ya kuwa manispaaa sasa.
Wadau na wengine mkiona mnabanana mjini maana kama Dar bila mtaji wa kuanzia milioni 30 wewe ni machinga.
Njoo mje mjionee fursa na kutoa mjini na kuleta huku kama mtalalamika.
Asanteni naelekea Mwanza sasa
Hii nchi ina watu wa ovyo kabisa [emoji23] [emoji23]Kagongwa mbele kahama nyuma.
#MaendeleoHayanaChama
Wanasema tembea uone sio kuhadithiwa bwana. Wilaya ya Kahama hipo mkoa Shinyanga na ukanda wa Ziwa Victoria.