Mji wa Kahama unaongoza kuwa na vituo vya mafuta kuliko wilaya yoyote hapa Tanzania

Kahama karibu wataifikia igunga kwa kiwango kikubwa cha biashara
emoji56.png

Kwa kaskazini sidhani kama kuna wilaya inayofikia khm kwa maendeleo, labda barabara tu wamenyimwa
 
Mkurugenzi bwana Anderson ni mhangaikaji, "big up" sana kwake.
 
Hebu weka takwimu za vituo vya kujazia mafuta kwa kila wilaya kama unavyodai ndo tukubaliane na hoja yako.

Kibaha ailinganishe na viwilaya vya moshi, manyara n.k huenda wakalingana, kuifananisha na kahama ni kuikosea heshima kahama.
 
Ukifika KHM hata iwe Jumapili mji uko busy kuliko Jumatatu ya Nzega.😁.

Nasubiria sensa ya mwaka huu nione ongezeko la raia limekua kwa % ngapi.
 
Moja Kati ya mambo ya kufurahisha nilifika kahama usiku ile nashuka kwenye bus dereva Tax ananiambia boss karibu nikupeleke lodge nikamjibu sina pesa ananiambia usijali kupelekwa lodge ni bure, alinipeleka bure baada ya kufika akaniuliza vipi asubuhi unaendelea na safari nikuwahi kukurudisha stand? Nikamjibu ndiyo na kweli akanifata

Lodge nililipa 15k tu na iko standard sana yaan, nilikuja kugundua kuwa wenye lodge ndo huwa wanawalipa madereva tax ili wawaletee wateja maana kahama lodge ziko nyingi sana tena za maana ukifanya mchezo bila ubunifu hupati wateja, na pia mzunguko wa pesa ni mkubwa sana bank kwa town tu ziko zaid ya 10+ na NMB wakala wako kila Kona hutembei mita 100 bila kukutana na NMB/CRDB wakala na muda wote wako bize, Fursa za biashara ni nyingi sana kahama na bado gharama za maisha ni nafuu.
 
Kuna bank zina branches ndani ya mji wa Kahama. CRDB branch 3, NMB branch 2, Azania branch 2.

DTB
NBC
FINCA
TCB
Access Microfinance Bank
Equity bank
BOA bank
Standard chartered (Kakola)
 
Kahama ni habari nyingine kwa sasa yaan ile situation tu niko nashuka kwenye bus napokelewa na dereva tax tena bure nikaepuka kunyeshewa mvua na nikapelekwa lodge ya maana na asubuhi nikafatwa bure kwa gharama ya lodge kwa 15k tu niliyolipia chumba niligundua Kuna ushindan mkubwa wa kibiashara, lakin pia mji umechangamka sana
 
Mkuu vipi Chato yenyewe ina mikokoteni pekee ya kuvutwa na akina Punda
 
Wanasema tembea uone sio kuhadithiwa bwana. Wilaya ya Kahama hipo mkoa Shinyanga na ukanda wa Ziwa Victoria.

Uzuri wa Kahama ni mji unaokua kwa kasi sana ukilinganisha na sehemu nyingine ambazo mpaka mkono wa Serikali kusukuma.

Kwa idadi ya vituo vya kujazia mafuta Kahama kukadilia vinafika 50 na kitu yani ushindwe wewe kujaza mafuta .

Mji wa Kahama fursa za biashara na mawazo mapya ya biashara yapo hapa.

Wahamiaji toka mikoa mbalimbali ni wengi yani kiufupi kuna idadi kubwa ya watu toka mikoa mbali mbali na nje ya nchi.

Kahama kimapato kiukweli hipo vizuri na ndio maana hata ripoti za mapato toka TRA utaja sana sehemu hii.

Halmashauri na wilaya ya Kahama zinajitahidi sana kuboresha baada ya kuwa manispaaa sasa.

Wadau na wengine mkiona mnabanana mjini maana kama Dar bila mtaji wa kuanzia milioni 30 wewe ni machinga.

Njoo mje mjionee fursa na kutoa mjini na kuleta huku kama mtalalamika.

Asanteni naelekea Mwanza sasa
Unaijua Tunduma?
 
Kahama wapo vizuri

Back
Top Bottom