KakaJambazi
JF-Expert Member
- Jun 5, 2009
- 18,804
- 12,227
Kuniambia kuna nini nyuma ya hawa wotito weupe mpaka hawafai Kwa kuolewa.Wakusaidie nini?..
Stereotypes tu..Kuniambia kuna nini nyuma ya hawa wotito weupe mpaka hawafai Kwa kuolewa.
Kwa hiyo mkuu, lengo lako ni kufukuliwa makaburi?Leo ni mara ya nne kufika Karatu, naomba nikiri, katika miji niliyotembelea, huu mji una watoto wakali sana, tena weupe.
Wajuzi wa mambo naombeni mnisaidie.
Waisrael ama Wayahudi hawajawahi kuwa na sura nzuri haijalishi ni wanawake au wanaume. Hili hata wao wanalijua na wanajikubali wala sio kipaumbele kwao.Kwa hiyo unatualika tuje?.
Ila kuna ka ukweli. Huko Karatu zamani walikuwa wanaishi Waisrael, itakuwa waliacha mbegu kwa jamii ya Kitanzania.
WEKA PICHA TAFADHALILeo ni mara ya nne kufika Karatu, naomba nikiri, katika miji niliyotembelea, huu mji una watoto wakali sana, tena weupe.
Wajuzi wa mambo naombeni mnisaidie.
Wakali? huo ni mtazamo wako tuu,kila mwanamke ni mkali,sema wewe unapenda rangi nyeupe kwa mwengine anapenda mweusi.Cha msingi ni kuzuia tamaa kama zitachagizwa na hivyo ulivyoonaLeo ni mara ya nne kufika Karatu, naomba nikiri, katika miji niliyotembelea, huu mji una watoto wakali sana, tena weupe.
Wajuzi wa mambo naombeni mnisaidie.
Mkuu upo kwenye range gani kiumri?Waisrael ama Wayahudi hawajawahi kuwa na sura nzuri haijalishi ni wanawake au wanaume. Hili hata wao wanalijua na wanajikubali wala sio kipaumbele kwao.
Wayahudi wenye kutazamika ni wale Ashkenazi hasa waliochanganya na damu za Russia kina Roman Abramovich.
a) 20-25 hapo mkuuMkuu upo kwenye range gani kiumri?
a)20-25
b)26-28
c)29+
Tatizo lao ni kukosa antenna lakini ni watamu na wanajituma sana kitandani..Leo ni mara ya nne kufika Karatu, naomba nikiri, katika miji niliyotembelea, huu mji una watoto wakali sana, tena weupe.
Wajuzi wa mambo naombeni mnisaidie.