Mji wa Karatu unaongoza kwa Wanawake wazuri

KakaJambazi

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2009
Posts
18,804
Reaction score
12,227
Leo ni mara ya nne kufika Karatu, naomba nikiri, katika miji niliyotembelea, huu mji una watoto wakali sana, tena weupe.

Wajuzi wa mambo naombeni mnisaidie.
 
Kwa hiyo mkuu, lengo lako ni kufukuliwa makaburi?
 
Uwaoe sasa mkuu sio kuwachezea kama ni adimu kiasi hicho...
 
Kwa hiyo unatualika tuje?.

Ila kuna ka ukweli. Huko Karatu zamani walikuwa wanaishi Waisrael, itakuwa waliacha mbegu kwa jamii ya Kitanzania.
Waisrael ama Wayahudi hawajawahi kuwa na sura nzuri haijalishi ni wanawake au wanaume. Hili hata wao wanalijua na wanajikubali wala sio kipaumbele kwao.

Wayahudi wenye kutazamika ni wale Ashkenazi hasa waliochanganya na damu za Russia kina Roman Abramovich.
 
Leo ni mara ya nne kufika Karatu, naomba nikiri, katika miji niliyotembelea, huu mji una watoto wakali sana, tena weupe.

Wajuzi wa mambo naombeni mnisaidie.
Wakali? huo ni mtazamo wako tuu,kila mwanamke ni mkali,sema wewe unapenda rangi nyeupe kwa mwengine anapenda mweusi.Cha msingi ni kuzuia tamaa kama zitachagizwa na hivyo ulivyoona

Wewe unataka usaidiwe nini?
 
Waisrael ama Wayahudi hawajawahi kuwa na sura nzuri haijalishi ni wanawake au wanaume. Hili hata wao wanalijua na wanajikubali wala sio kipaumbele kwao.

Wayahudi wenye kutazamika ni wale Ashkenazi hasa waliochanganya na damu za Russia kina Roman Abramovich.
Mkuu upo kwenye range gani kiumri?

a)20-25

b)26-28

c)29+
 
Karatu changamoto ni mojs ile midemu haijui kukataa
Ukisikia wanaitana binamu ujue kitumbya kishaingia mchanga
Desiri hajafunzwa kukataaa
 
Leo ni mara ya nne kufika Karatu, naomba nikiri, katika miji niliyotembelea, huu mji una watoto wakali sana, tena weupe.

Wajuzi wa mambo naombeni mnisaidie.
Tatizo lao ni kukosa antenna lakini ni watamu na wanajituma sana kitandani..

Hutojuta mkuu..
 
Back
Top Bottom