Mji wa Mwanza mbona nafasi za kazi hamna kabisa kwa Private Sector?

Rog chimera

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2018
Posts
398
Reaction score
706
Habari viongozi,

Nimechunguza muda mrefu na kugundua Mwanza ni jiji lakini fursa za ajira hamna kabisa, hasa hasa kwa private sector, ukiangalia matangazo ya ajira ni Dar na Arusha tu na Dodoma kidogo, Mwanza ni mara chache sana, Au Mwanza mnapeana kazi chini kwa chini?
 
Mikdde Wewe kavue Samaki ndio Ajira zilizopo ,Mwanza hakuna kitu 😂😂
 
Habari viongozi,

Nimechunguza muda mrefu na kugundua Mwanza ni jiji lakini fursa za ajira hamna kabisa, hasa hasa kwa private sector, ukiangalia matangazo ya ajira ni Dar na Arusha tu na Dodoma kidogo, Mwanza ni mara chache sana, Au Mwanza mnapeana kazi chini kwa chini?
Haaahaa 😂 🤣 unataka kusema mwanza ni likijiji likubwa lililo changamka Kama yule mwenzetu alivyo remark Jiji la mbeya.

Mwanza bwana Bado Sana kwa kweli
 
Mwanza ni jiji la kibiashara siyo jiji la kikazi

Mwanza nenda na mtaji tu utapiga pesa vibaya sana
Ndugu, haya mambo yanategemeana, kama ajira hamna pesa ya kununua bidhaa inatoka wapi??ata kibiashara naona purchasing power mwanza inasaidiwa na uwepo wa watumishi wa serikali tu, otherwise mzunguko wa pesa ungekua mdogo sana maana wafanyabiashara wakubwa ni wachache, wengi wana vi frem vidogo vidogo tu.
 
Kwahiyo hiyo hivyo vi frem vidogo vidogo umeviona ukavidharau

Ushawahi Fanya biashara kweli
 
Back
Top Bottom