Mji wa Mwanza mbona nafasi za kazi hamna kabisa kwa Private Sector?

Mji wa Mwanza mbona nafasi za kazi hamna kabisa kwa Private Sector?

Kwani lini Mwanza kulikuwa na semina? Hakuna hata kumbi za maana huko,viwanda vimehamia Shinyanga.

Nyie vueni dagaa tuu 🤣🤣
Huna unalojua ..moron 🤡 🤡 🤡 🤡 🤡
Screenshot_20241014-164500.png
 
Habari viongozi,

Nimechunguza muda mrefu na kugundua Mwanza ni jiji lakini fursa za ajira hamna kabisa, hasa hasa kwa private sector, ukiangalia matangazo ya ajira ni Dar na Arusha tu na Dodoma kidogo, Mwanza ni mara chache sana, Au Mwanza mnapeana kazi chini kwa chini?
Vikindu pekee Kuna ajira nyingi za wiwanda kuliko Kanda ya ziwa yote😀😀
 
Umeenda wapi wew.....unadhanj mwanza ni kama kwenu huko chumbageni.
Karibu kwenye semina na training ya viongozi na wakurugenzi wa taasisi na makampuni
20241014_164348.jpg

Zilikuwepo maika kabla ya mzee , tumeenda sana hapo mwanza.
 
Mwanza ni Kama Bukoba hizo sehemu mbili zinawafaa waajiriwa wa serikali

Ila kwa mtafutaji deiwaka kuikamata elfu kumk hadi ishirini sio jambo jepesi.

Kazi za uvuvi na boda boda boda ndo ajira kubwa huko.

Bukoba wahaya wengi wamekimbilia mwanza wanavua samaki na kuendesha boda boda
 
Umeenda wapi wew.....unadhanj mwanza ni kama kwenu huko chumbageni.
Karibu kwenye semina na training ya viongozi na wakurugenzi wa taasisi na makampuni
View attachment 3124897
Usifananishe sisi na wapumbavu , mimi ndio nakuambia sasa , waulize wenzie au tuhesabu seminar kubwa uone?

Viongozi wanachoma nyama huko , wewe unapiga domo .!
 
Mwanza ni Kama Bukoba hizo sehemu mbili zinawafaa waajiriwa wa serikali

Ila kwa mtafutaji deiwaka kuikamata elfu hadi ishirini sio jambo jepesi.

Kazi za uvuvi na boda boda boda ndo ajira kubwa huko.

Bukoba wahaya wengi wamekimbilia mwanza wanavua samaki na kuendesha boda boda
Toka hapa na mauongo yako
 
Usifananishe sisi na wapumbavu , mimi ndio nakuambia sasa , waulize wenzie au tuhesabu seminar kubwa uone?

Viongozi wanachoma nyama huko , wewe unapiga domo .!
ww ndio unayesema semina kubwa zimeisha ...kwa taarifa Yako mwanza imefanya zaidi ya convention ,semina na mikutano si chini ya 30 kwa mwaka huu
20241014_164059.jpg
 
Je ukweli ni upi mkuu

Mimi nimekaa hiyo mikoa yote miwili Bukoba na mwanza

Wanafanana kila kitu
Eti wanafanana Kila kitu ...labda ukaribu na ziwa tu ..ila mengine yote bukoba kaifananishe na kigoma sio mwanza
 
Mwanza na kagera bado ni vijiji na sijui huwa wanatumia vigezo gani kusema mwanza ni jiji na Bukoba ni manispaa

Hizi sehemu zote uchumi wake ni mgumu na wakazi wengi wana hali ngumu Sana.

Nimekaa mwanza
Nimekaa Bukoba

Kiufupi hata Kama wewe ni mpambanaji kutoboa inachukua muda Sana watu wenye huge capital ndo wana-survive.

Ila hustler aliyetoka chuo mwanza na Bukoba ukiwa umeajiriwa hapo uhakika.

Mwanza na Bukoba ndo sehemu unakuta MTU Ana miaka 60 anatembeza nguo za mtumba

Vijana wametelekeza wazazi wao

Wanaamini uchawi Sana

Kiufupi Dar itabaki kileleni na kidogo Arusha kwa mbali
 
Back
Top Bottom