Mji wa Mwanza mbona nafasi za kazi hamna kabisa kwa Private Sector?

Mji wa Mwanza mbona nafasi za kazi hamna kabisa kwa Private Sector?

Kwa Tanzania yetu Nahisi Maeneo yaliyopangwa ni machache ukilinganisha na maeneo yenye Slum hivyo nashangaa Mtu kuinyooshea kidole Mwanza wakati hili ni janga la karibu kila Mkoa, hakuna Mkoa usio kuwa na Uswahilini Tanzania hii kama upo nitajie nikutoeni nishai
 
Kuhusu mawe mnayoyaona Mwanza ndugu zangu yale ni madini kuna mpaka makampuni makubwa yanamiliki makalasha ya kusaga mawe na kokoto za size tofauti tofauti zinatumika kwenye ujenzi wa nyumba za kawaida mpaka magorofa, Ujenzi wa Barabara na husafirishwa mpaka nje nchi kama Rwanda, Pia hutengezea Zile Pavement na zinachangia pato la taifa watu hulipia ushuru wa madini kwa kila Trip kwa ufupi vyanzo vya kipati Mwanza ni vingi ukiachilia Uvuvi na hizo bodaboda kulala njaa Mwanza unakua umetaka Mwenyewe
 
Back
Top Bottom