Yawezekana Pasikuvutie lakini kibongo bongo jiji la Mwanza sio lakubeza, Ajira Mwanza zipo nyingi labda kama unaangalia ajira za makampuni makubwa tu ila kwa upande wa Ajira za Kati Mwanza zipo nyingi sana, Angalia tu sector ya Usafirishaji Majini Mwanza kwenye top 5 ya Bandari zenye idadi kubwa ya Usafirishaji huwezi kuikosa anzia Mwanza South Mpaka Mwanza North Port, Usafiri wa Ardhini Mwanza kuna Bus zaidi ya 2,000 zinazoingia na kutoka, Usafiri wa Anga hapa hapajawa na International Flight nafikili nikukosa kwa hadhi ya kiwanja cha kimataifa lakin maajent wa makampuni ya Usafirishaji wapo, Sector ya Utalii inafanya vyema japo huwezi kulinganisha na miji ya kitalii kama Arusha na Zanzibar, Taasisi zipo japo hapafanyi vyema sana kulinganisha na mikoa yenye Shughuli za kiserikali ila zipo kama Bugando MC ambayo pekee inaweza kuwa imeajili watu si chini ya 200, Chama cha Ushirika Nyanza n.k pamoja na Taasis mbali za kanda ya ziwa, Viwanda hivi ni vingi kuna Nyanza Bottling company(Coke), SBL(Pepsi), Serengeti Breweries,TBL, Zongii kiwanda cha Plastic, Sayona Steel, Nyakato Steel, Mwatex, Vic Fish, Tan Fish, Nile Peach, Viwanda vya Magodoro, Viwanda vya Mafuta ta Pamba n.k, Taasisi za Elimu Chuo kikuu SAUT, CUHAS, MWANZA UNIVERSITY, na College kama DIT, PASIANSI Wildlife, TIA, MIPANGO, CBE, JEMA TECH, MAC WISH, IFM n.k. Uvuvi na Biashara za Mazao ya Ziwani, Makampuni ya Madini pamoja na Shughuli za madini,Hotels and Entertainment , hapo nimedadavua sector ambazo hazifungani sana na Serikali sasa ndugu wewe ulitaka ajira zipi tofauti nazitokanazo na Sector hizo?