Mji wa Mwanza mbona nafasi za kazi hamna kabisa kwa Private Sector?

Watu wa mwanza ovyo sana, maduka wanafunga saa 12 maji mzima, maduka wanafunga saa 2 asubuhi...
Mtaalam hiyo inatokana na hali ya uchumi wa mkoa , mwanza ikishafika saa tatu usiku
Labda kwenye center kubwa yenye watu wengi ndio utakuta maduka wazi kwa kuwa wateja bado wapo lakini kwingine muda huo hamna wateja
 
Sahihi, nilishangaa sana yaani mji mzima saa 12 jioni kimyaa, ...
 
Mwanza imekufa kifo cha punda hata semina zimekata , zote zimehamishiwa Arusha ....Mwezi huu tu semina kubwa zote zimefanyika Arusha .
Ona hili ,🥺😜😜😜😜🤡🤡🤡🤡🤡🤡🤡
 
Back
Top Bottom