Rog chimera
JF-Expert Member
- Apr 28, 2018
- 398
- 706
Mikdde Wewe kavue Samaki ndio Ajira zilizopo ,Mwanza hakuna kitu 😂😂Habari viongozi,
Nimechunguza muda mrefu na kugundua Mwanza ni jiji lakini fursa za ajira hamna kabisa, hasa hasa kwa private sector, ukiangalia matangazo ya ajira ni Dar na Arusha tu na Dodoma kidogo, Mwanza ni mara chache sana, Au Mwanza mnapeana kazi chini kwa chini?
Haaahaa 😂 🤣 unataka kusema mwanza ni likijiji likubwa lililo changamka Kama yule mwenzetu alivyo remark Jiji la mbeya.Habari viongozi,
Nimechunguza muda mrefu na kugundua Mwanza ni jiji lakini fursa za ajira hamna kabisa, hasa hasa kwa private sector, ukiangalia matangazo ya ajira ni Dar na Arusha tu na Dodoma kidogo, Mwanza ni mara chache sana, Au Mwanza mnapeana kazi chini kwa chini?
😂😂😂😂 duh aisee inauma ukizingatia ndi home townWewe kavue Samaki ndio Ajira zilizopo ,Mwanza hakuna kitu 😂😂
Ata mimi nahisi uko sahihimwanza itakuwa hamna up coming companies..nyingi ni zile kubwa tu a madini na uvuvi na viwanda ambavyo hawatangazi kazi mpya labda replacement pekee ndo maana moja moja sana
Mbeya na Mwanza naona ni wale wale tuNa mbeya watasemaje sasa 😃
Ndugu, haya mambo yanategemeana, kama ajira hamna pesa ya kununua bidhaa inatoka wapi??ata kibiashara naona purchasing power mwanza inasaidiwa na uwepo wa watumishi wa serikali tu, otherwise mzunguko wa pesa ungekua mdogo sana maana wafanyabiashara wakubwa ni wachache, wengi wana vi frem vidogo vidogo tu.Mwanza ni jiji la kibiashara siyo jiji la kikazi
Mwanza nenda na mtaji tu utapiga pesa vibaya sana
Kwahiyo hiyo hivyo vi frem vidogo vidogo umeviona ukavidharauNdugu, haya mambo yanategemeana, kama ajira hamna pesa ya kununua bidhaa inatoka wapi??ata kibiashara naona purchasing power mwanza inasaidiwa na uwepo wa watumishi wa serikali tu, otherwise mzunguko wa pesa ungekua mdogo sana maana wafanyabiashara wakubwa ni wachache, wengi wana vi frem vidogo vidogo tu.
Kama mwanza ni jiji la biashara na dar itakuwa nini. Nenda ukanawe uso usingizi ukuishe.Mwanza ni jiji la kibiashara siyo jiji la kikazi
Mwanza nenda na mtaji tu utapiga pesa vibaya sana
Nilijua tunajadiliana kumbe mwenzagu una hasira hivyo tenaKama mwanza ni jiji la biashara na dar itakuwa nini. Nenda ukanawe uso usingizi ukuishe.
Kwani lini Mwanza kulikuwa na semina? Hakuna hata kumbi za maana huko,viwanda vimehamia Shinyanga.Mwanza imekufa kifo cha punda hata semina zimekata , zote zimehamishiwa Arusha ....Mwezi huu tu semina kubwa zote zimefanyika Arusha .
Bora Mbeya inategemea Kilimo na Biashara Kwa pamoja KitombileNa mbeya watasemaje sasa 😃