Kuhusu mawe mnayoyaona Mwanza ndugu zangu yale ni madini kuna mpaka makampuni makubwa yanamiliki makalasha ya kusaga mawe na kokoto za size tofauti tofauti zinatumika kwenye ujenzi wa nyumba za kawaida mpaka magorofa, Ujenzi wa Barabara na husafirishwa mpaka nje nchi kama Rwanda, Pia hutengezea Zile Pavement na zinachangia pato la taifa watu hulipia ushuru wa madini kwa kila Trip kwa ufupi vyanzo vya kipati Mwanza ni vingi ukiachilia Uvuvi na hizo bodaboda kulala njaa Mwanza unakua umetaka Mwenyewe