Mji wa Nakonde ulio mpakani mwa Tanzania na Zambia wapata maambukizi ya COVID 19 ya kufuru! Ndani ya saa 24 watu 202 waambukizwa

Nasikia vijiji vya Malawi wakiwaona Watanzania tu wanakimbilia mwituni yaani tumekuwa mazimwi fulani
 

Wewe kila siku una habali za corona si na wewe uugue ili utoe taarifa vizuri, wewe unajigivha wapi ambapo hamna corona? Watanzania wanaugua ila wewe tu ndo huugui.
 
Hapo Nakonde ndani ya mwezi corona italamba 6000

Yote hayo ni kwasababu ya kiongozi mwenye IQ ya 29
 
Majirani wana tuhaibisha wakitoa taarifa kama izi mpakani ..afu sisi tupo kimya kana kwamba upande wetu hauna maambukizi



Ili sikika misukule ya lumumba

sijui itakuaje
 
Yaani hapa CCM nawashauri wamuondoe huyu mpuuzi ktk payroll yao. Maana kila siku hana hoja yoyote ya maana anayochangia zaidi ya upuuzi uliopitiliza. Mbona wenzake wengine wa CCM humu angalau wana ustaarabu ktk kuchangia? Mfano mzuri ni John the baptist
 
Hivi hamna uwezekano wa kumpiga mtu Ban kwa kuongoza kuchangia ujinga??
Hata mimi niliwahi kushauri kipindi fulani huyu mpuuzi moderator ampige burn maana ni mpotoshaji sana sababu hana constructive contribution kwenye jukwaa kama hili la habari zaidi ya kuleta mambo ya kijiweni.
 
kila mtu apambane kivyake ,mssiiisumbue serikali haijaleta corona jameni,kuna mamiradi ya maana mabarabara maviwanda ya kujenga nyie mnatusumbua na corona kwani corona ilikuwepo kwenye ahadi ya chama chetu tukufu?
 
Daaah watanzania tumebaki tunapuyanga tu hateuelewi chochote naona hata kunawa na kuvaa barakoa watu wengi wameachana navyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na ile tu mimi na hamu itafune mpka wale bakabaka na vibaraka wote wa fisiemu wanaovaa kofia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo #Bia Yetu akili# na #Crimea# zao ziko kwenye kinyeo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
daaah huyo bosi wa usalama kanihuzunisha sana, nina kaukaribu na familia yake
 
Ndio hivyo,wazambia wata-enjoy yaani,epicenter at their doorstep.
Tutagawana umasikini na magonjwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…