kagoshima
JF-Expert Member
- Dec 31, 2015
- 2,887
- 5,687
Huna akili wewe pumbavu. Watu tumepoteza ndugu huku wewe unapigania buku 7 shenzi kabisa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huna akili wewe pumbavu. Watu tumepoteza ndugu huku wewe unapigania buku 7 shenzi kabisa
Mimi nahisi ndiye Kawe mwenyewe?Mkuu ndugu yake na huyo anaitwa Kawe Alumni alinisababishia ban ya miezi miwili.
Sikuhizi huwa nawapotezea tu
Kujirusha fahamu mbele ya wanaumeMkuu kosa langu ni lipi?
Katika nchi za wenzetu Ummy angekuwa kashatimua tangu February. Anajua akitimua ndio kula yake inaisha hivyo anaona ni afadhali maelfu wafe.Waziri ummy ajiuzulu kwa sababu watu wanakufa hovyo kwa uzembe wa rais magufuli ? Siyo Tanzania hiyoo
Mji wa Nakonde unaopakana na Tunduma iliyo Tanzania unapata maambukizi mapya ya COVID 19 ndani ya saa 24 zilizopita kuliko mji mkuu wa Lusaka kwa mujibu wa wizara ya afya ya Zambia.
Wakati haya yakiendelea kwa upande wa Tanzania tunaarifiwa kuwa waziri wa afya yupo katika hatua za mwisho kuondoka wizarani hapo baada ya kutokuridhishwa na mwenendo mzima wa serikali kukabili suala la COVID 19
View attachment 1448228
Yaani hapa CCM nawashauri wamuondoe huyu mpuuzi ktk payroll yao. Maana kila siku hana hoja yoyote ya maana anayochangia zaidi ya upuuzi uliopitiliza. Mbona wenzake wengine wa CCM humu angalau wana ustaarabu ktk kuchangia? Mfano mzuri ni John the baptistWewe jamaa ni mpuuzi sana na sidhani kama ni miongoni mwa watu waliozaliwa na binadamu wewe itakuwa ulizaliwa na mnyama wa polini au ulipandikizwa mbegu kwenye mashine. kwani haujawahi kuwa na mchango wowote wenye akili ambao unaweza kutuondoa kwenye matatizo yanayolikabili ili taifa zaidi ya kuleta hoja za kijingajinga ambazo hazionyeshi kama wewe ni timamu kiakili. Nyooko kabisa.
Hata mimi niliwahi kushauri kipindi fulani huyu mpuuzi moderator ampige burn maana ni mpotoshaji sana sababu hana constructive contribution kwenye jukwaa kama hili la habari zaidi ya kuleta mambo ya kijiweni.Hivi hamna uwezekano wa kumpiga mtu Ban kwa kuongoza kuchangia ujinga??
Muraaa ndioo maaana sidiliri na wapu#%@"vu
Na ile tu mimi na hamu itafune mpka wale bakabaka na vibaraka wote wa fisiemu wanaovaa kofiaUmmy akiachia ngazi Magufuli atamteua Mwigulu. Wanaendana yani wote magarasa. Mwigulu alishauri tusipime kabisa na tusitaje data yoyote. Hahaha. Yani kazi ipo.
TISS kimyaa. Uzuri covid haijawahi kuni let down.
Imemdondosha mdogo wake yule boss wa usalama. Na wasipokuwa makini itakula pale top 3
Huyo #Bia Yetu akili# na #Crimea# zao ziko kwenye kinyeoWewe jamaa ni mpuuzi sana na sidhani kama ni miongoni mwa watu waliozaliwa na binadamu wewe itakuwa ulizaliwa na mnyama wa polini au ulipandikizwa mbegu kwenye mashine. kwani haujawahi kuwa na mchango wowote wenye akili ambao unaweza kutuondoa kwenye matatizo yanayolikabili ili taifa zaidi ya kuleta hoja za kijingajinga ambazo hazionyeshi kama wewe ni timamu kiakili. Nyooko kabisa.
daaah huyo bosi wa usalama kanihuzunisha sana, nina kaukaribu na familia yakeUmmy akiachia ngazi Magufuli atamteua Mwigulu. Wanaendana yani wote magarasa. Mwigulu alishauri tusipime kabisa na tusitaje data yoyote. Hahaha. Yani kazi ipo.
TISS kimyaa. Uzuri covid haijawahi kuni let down.
Imemdondosha mdogo wake yule boss wa usalama. Na wasipokuwa makini itakula pale top 3