Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 7,899
- 10,415
Kwahiyo shinyanga na yenyewe ni Netherlands......Cha ajabu ni nini hapa wakati Netherlands baiskeli ni nyingi kuliko watu.
Mwanza na ShinyangaJe unafahamu kuwa nchini Tanzania kuna mji mkongwe ambao usafiri wake mkuu ni baiskeli?
Kwa muda wa miongo mitano sasa, wakazi wake wameendelea kutegemea zaidi usafiri huo ambao unatambua baisikeli za uchukuzi wa umma kwa jina 'daladala'.
Mwandishi wa BBC @lasteck2023 ametembelea mji huo wa Shinyanga uliopo Kaskazini Magharibi mwa Tanzania na kutuandalia taarifa ifuatayo
Tanga baiskeli ni nyingi (sehewa wanaita wenyewe). Tofauti ni kuwa kanda ya ziwa baiskeli zinatumika kusafirisha watu (wanaita daladala huku).Tanga imepitwa na shinyanga?
Kumbe😀Tanga baiskeli ni nyingi (sehewa wanaita wenyewe). Tofauti ni kuwa kanda ya ziwa baiskeli zinatumika kusafirisha watu (wanaita daladala huku).
Yeah na baiskeli zenyewe ni phoenix yale makubwa sio visehewa vile vya kuendea sokoni.Kumbe😀
Ungeishi huko labda ungezoeaYeah na baiskeli zenyewe ni phoenix yale makubwa sio visehewa vile vya kuendea sokoni.
Mimi huu usafiri sijawahi kuutumia kabisa naona ajabu sana asee.
View attachment 2678318View attachment 2678319
Yeah maana nilipofika hii kanda first time kuna jamaa ananiambia yupo kwenye daladala anakuja nimsubiri ila daladala sijaona siku nzima nashangaa anafika amepanda baiskeli ndio nikaambiwa hizo ndio daladala.Ungeishi huko labda ungezoea
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimekumbuka Geitaa, woiiiiii.Yeah na baiskeli zenyewe ni phoenix yale makubwa sio visehewa vile vya kuendea sokoni.
Mimi huu usafiri sijawahi kuutumia kabisa naona ajabu sana asee.
View attachment 2678318View attachment 2678319
tanga wanabeba abiria kwa baiskeli pia, mimi nilizitumia sana nikiwa hukoTanga baiskeli ni nyingi (sehewa wanaita wenyewe). Tofauti ni kuwa kanda ya ziwa baiskeli zinatumika kusafirisha watu (wanaita daladala huku).
Kwani ni wapi?Kwahiyo shinyanga na yenyewe ni Netherlands......