Webabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2010
- 8,870
- 14,258
Jeshi la Ukraine pamoja na msaada mkubwa wa NATO linazidi kuishiwa nguvu na hata habari za mrejesho kwa wafadhili wake.
Mji umezingirwa tangu Agosti na hatimae warusi wawe ni kutoka Wagner au wapi lakini wamewatimua Waukreni kwenye machimboj ya chumvi yenye mapango mengi.
Cha ajabu UK ambaye amekuwa kama msemaji wa jeshi la Ukraine na Zelensky mwenyewe wanasema eneo lote hilo limejaa maiti za majeshi ya Urusi. Propanganda kama hizi hatimae zinawakatisha tamaa raia.
Habari kama hizi zilisikika sana Kherson,hata hivyo baadae watu baada kusubiri sana wakajua hakuna jambo.