Mjina matamu ya kike

Umba Tuku

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2017
Posts
2,101
Reaction score
1,271
i just missed you badly.........................
 
Mahabat mbona jina la kiume hilo au wewe unavutiwa nayo?
 
Nimejikwaa na wala usifikiri nimedondoka ili uniokote kizembe..

Kul_mahabat ni jina moja hilo, wala usitake kulitenganisha mkuu!
 
Nimejikwaa na wala usifikiri nimedondoka ili uniokote kizembe..

Kul_mahabat ni jina moja hilo, wala usitake kulitenganisha mkuu!

we jamaa mbona unanilazimisha nilitaje lote ? huyu mdada yuko hum ni mtu wa media mno sio vizuri kuweka jina lake lote hum jamaa
 
Nimejikwaa na wala usifikiri nimedondoka ili uniokote kizembe..

Kul_mahabat ni jina moja hilo, wala usitake kulitenganisha mkuu!

Hiyo L nimeongezea ili usije ukahis ninazungumzi kipochi manyoya
 
Shule zinafunguliwa tarehe 4 Julai 2017. I hope tutapumzika na topics hizi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…