Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
anhaa sawa mkuuni kitendo cha kama dakika 10 tu sio rahis kumpiga picha
Nimejikwaa na wala usifikiri nimedondoka ili uniokote kizembe..
Kul_mahabat ni jina moja hilo, wala usitake kulitenganisha mkuu!
Shule zinafunguliwa tarehe 4 Julai 2017. I hope tutapumzika na topics hiziWakuu,
Polen na majukum yakusaka maisha, kuna kitu nimekiona hapa nimetaman kushare na wewe msomaji
Ilikuwa siku moja kabla ya Eid mida ya saa tisa unusu, natoka nafata gari car wash niko getin hamad ilisimama gari flan pemben yangu anaendesha dada mmoja mzuri nikisema mzuri ujue ni mzuri kweli on top of that ni very bright tho alinipa ride kama 5mn hivi ilikuwa very interesting talk
Kilichonipa ukakasi akilin sasa, kwenye kuagana tuliulizana majina na vitu kama izo, mdada anajina tosha Mahabat jina ni lizuri mdada ni mzuri msomaji bora hukuwepo
KUL MAHBAT i just missed you badly.........................