Mjini hakuna rafiki wa uhakika wote ni 'deal maker'

Mjini hakuna rafiki wa uhakika wote ni 'deal maker'

Na hii imetokea kwa vijana wengi, wakiwa mikoani kelele ni nyingi sana mara watakwambia ukija mjini tutafutane angalau tubadilishe mawazo, mazingira, na tupeane fursa. Sasa ukifika mjini, ukiomba muonane naye, chenga zinakuwa nyingi; mara leo niko bize nimetingwa na kazi, mara nimesafiri niko nje ya jiji,mara nitakuwa studio n.k wakati mwingine hata simu yako hawapokei wakishajua umewafuata mjini, sasa unajiuliza akiwa mkoani mbwembwe ni nyingi, ila ukifika mjini na kuanza kumtafuta anakupa sababu nyingi ili msiweze kuonana.

kwa mazingira hayo, kweli mjini hakuna urafiki, urafiki ni huko mikoani na vijijini ambapo mnaweza kuombana chumvi, vitunguu, majembe n.k

Kwahiyo mjini ni Dar tu mkoani sio mjini?
 
Tatizo wengi wetu sikuhizi hatuishi maisha halisi uwongo mwingi kuliko uhalisia unakuta mtu kwa nje anaonekana kwa rangi nyekundu lkn uhalisia wake ni kijani

Hivyo unapo msogelea mtu huwa hataki uijue rangi ya kijani anapenda ujue nyekundu tu
 
Kutana na ndege mwenye mahaba mazito zaidi ya binadamu. Yeye hutulia na mwenza mmoja mpaka kifo chake, yaaan kwake michepuko ni hapana[emoji23]



Usisahau kugusa neno SUBSCRIBE ili kupata na kujua maajabu zaidi ya viumbe mbalimbali. [emoji122]

Sent from my SM-J250F using JamiiForums mobile app
We jamaa wanaona hii comment yako wanakupuuza we kila kona " kutana na ndege mwenye mahaba" jishitukie bas watu hawakwambii tu ila unawaboa sana! Kila Uzi hupati hata like, lakini umo tu
 
Back
Top Bottom