Mjini hakuna rafiki wa uhakika wote ni 'deal maker'


Kwahiyo mjini ni Dar tu mkoani sio mjini?
 
Tatizo wengi wetu sikuhizi hatuishi maisha halisi uwongo mwingi kuliko uhalisia unakuta mtu kwa nje anaonekana kwa rangi nyekundu lkn uhalisia wake ni kijani

Hivyo unapo msogelea mtu huwa hataki uijue rangi ya kijani anapenda ujue nyekundu tu
 
We jamaa wanaona hii comment yako wanakupuuza we kila kona " kutana na ndege mwenye mahaba" jishitukie bas watu hawakwambii tu ila unawaboa sana! Kila Uzi hupati hata like, lakini umo tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…