Mjini Mipango: Unaweza kuanza hii biashara hata kwa mtaji usiozidi bei ya iPhone moja latest

Mjini Mipango: Unaweza kuanza hii biashara hata kwa mtaji usiozidi bei ya iPhone moja latest

Tupe mifano mkuu
1.Game station(playstations)
2.Genge(uza kila kitu mfano petrol,mifagio,unga,sukar,vocha,majiko,mafuta yaan kila kitu)
3.kukodisha vitu(mikokoteni,maturubai,viti,baiskel,mziki,n.k)
4.tuition au english/mathematics clubs
5.kibanda umiza cha season na mpira
6.mgahawa
 
Back
Top Bottom