Mjini mipango: Wasanii wengi waliounda kundi la East coast wanaishi vizuri hadi sasa, kongole kwao kwa mikakati ya kimaendeleo

GK,AY na Mwana FA hao wote mambo safi watoto wa Upanga wazee wao walikuwa na connection kwenye system so kutoboa hao kwao siyo ngumu.

Tofauti na hao TMK wengi utakuta ni watoto wa wavuvi,wafanyakazi wa wahindi na washinda masokoni.
We boya nani kakwambia AY na FA ni watoto wa kishua wakati hiyo upanga yenyewe walikuwa wanabebwa na GK kwa kila kitu hao wote ni mkoa tena kama FA ndio katoka kwenye umaskini sana
 
We boya nani kakwambia AY na FA ni watoto wa kishua wakati hiyo upanga yenyewe walikuwa wanabebwa na GK kwa kila kitu hao wote ni mkoa tena kama FA ndio katoka kwenye umaskini sana
Sawa wewe unajua zaidi lakini nakosa mantiki kwamba ni nini hasa kimekufanya uniite boya?

Humu siyo kila mtu anajua kila kitu kuna unayoyajua wewe kuna anayoyajua mwengine busara yape heshima mawazo ya wenzako.
 
Kwahiyo ukiwa na gpa ya 3.5 wewe ni lecturer?

Unaelewa maana ya lecturer wewe?
 
Hao uliowataja, ni wangapi ukicompare na kundi zima?
 
Unajua maana ya neno wengi? It means ni zaidi ya nusu.

Haya, orodhesha members wote wa ECT alafu tupimanishe waliotoboa dhidi ya wanaosota, tuone wapi ni wengi.
Amekosea kutumia neno wengi, hapo ni FA na kidogo AY
Labda na Soudy Brown sababu ni mtangazaji na shilawadu yake ilienda sana
But the rest akina o ten, Pauline zongo, snare, butf g, Shariff, lady slay, immam Abbas bado wanajitafuta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…