Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 73,773
- 102,126
East Coast iliundwa na members wangapi ili tuweze kujudge hilo neno "wengi" kama ni sahihi au lah?
Maana umetaja core members 3 pekee...
Maana umetaja core members 3 pekee...
Kumekuwa na makundi mengi kama Tmk wanaume, wakali kwanza, solid ground, gangwe mob, watu pori, n.k. lakini wasanii wengi waa hayo mkundi wameyumba kiuchumi hasa baada ya kuacha muziki.
Hii ni tofauti na kundi la east cost team, members wake wengi wanadunda mpaka sasa
GK - Lecturer katika chuo mojawapo cha biashara
View attachment 2965661
Mwana FA - Mbunge + naibu waziri
View attachment 2965668
AY - Businessman
View attachment 2965670
BONUS
Lady Jay Dee - Business + kula pensheni, kuna tetesi 2025 kugombea jimbo
Hakuwa moja kwa moja mwana east coast ila tunaweza kusema alikuwa mwana east coast kivuli, alikuwa na ukaribu zaidi na kushirikiana kufanya kazi kibao na wasanii wa east coast
View attachment 2965673