adakiss23
JF-Expert Member
- Jan 23, 2011
- 4,732
- 4,901
Alienda states kitambo sana.kuna yule stanboy nae yuko wapy
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alienda states kitambo sana.kuna yule stanboy nae yuko wapy
AY na mwana FA wazazi wao walikua kwenye system gani?GK,AY na Mwana FA hao wote mambo safi watoto wa Upanga wazee wao walikuwa na connection kwenye system so kutoboa hao kwao siyo ngumu.
Tofauti na hao TMK wengi utakuta ni watoto wa wavuvi,wafanyakazi wa wahindi na washinda masokoni.
Nifhamishe mkuu.. soudy brown huyu w shilawadu Alikua ECT??Amekosea kutumia neno wengi, hapo ni FA na kidogo AY
Labda na Soudy Brown sababu ni mtangazaji na shilawadu yake ilienda sana
But the rest akina o ten, Pauline zongo, snare, butf g, Shariff, lady slay, immam Abbas bado wanajitafuta
🤣🤣🤣🤣GK,AY na Mwana FA hao wote mambo safi watoto wa Upanga wazee wao walikuwa na connection kwenye system so kutoboa hao kwao siyo ngumu.
Tofauti na hao TMK wengi utakuta ni watoto wa wavuvi,wafanyakazi wa wahindi na washinda masokoni.
kwa hilo jina linaakisi ww mkazi wa chato. mambo ya mjini daslama huyajuiMwanaFA hakuwahi kuwa ECT
Umeandika UONGO MAN na sio vizuri kabisa.. kweli O-Ten yupo Moro na ukweli ni Hatumii Dawa labda kama haumaanishi Unga... Tuzungumzie mengine kwa hili Umedanganya Sana. Zaidi muda wowote utakaokutana nae amependeza na anaweza kwenda sehem classic yoyote na asishangaze.Mbona o-ten yupo tu morogoro hana mbele wala nyuma
Kwa ufupi tu dawa zimemuharibu na sasa kawa chiz
Buff G anafanya Biashara ya Mavazi kwa LOGO ya UJAMAA, Snare ni mkulima wa Kisasa.. Na Wote wanaendelea kurekodi mziki.Vipi kuhusu Adam aka Snare na Benjamin aka buff G?
Ni Ay ndo alianza hivyoSijui yuko wap huyu jamaa
"Snare
Ngojea
East cost aminia" 😄
Alianza hiv kwenye amazangu amazao
Ahahahahah.. mkuu kwel wewe ni mkongwe mwenzangu. Uko sahihi. Nilikua mazi sana wa ectNi Ay ndo alianza hivyo
alikua na melody moja tamu sana, mtoto wa kinondoni huyuAlienda states kitambo sana.
nimekumbuka mbali sana. huu uzi unafaa kuwa tbt.Yuko states
Jamaa anamsemea FA gani??duh.Duh. Mjini umekuja lini mkuu?
Afu inabidi ajue AY alikua maskini tu analala kwenye kontena,alikuwa chawa wa GK kipindi,hicho..sema yule buana ufreemason ndo umemsaidia.AY na mwana FA wazazi wao walikua kwenye system gani?
Pauline zongoGK, AY, FA, SNARE, BUFF G, O-TEN, & STAN BOY. Ndio walikuwa members halisi wa ECT.
Kama kuniliyemsahau nadhani hawazidi wawili.
Analeta story za vijiweni huyu jamaa..Jamaa kachanganya. Mama yake na GK ndie lecture wa CBE