Mjini mipango: Wasanii wengi waliounda kundi la East coast wanaishi vizuri hadi sasa, kongole kwao kwa mikakati ya kimaendeleo

Mjini mipango: Wasanii wengi waliounda kundi la East coast wanaishi vizuri hadi sasa, kongole kwao kwa mikakati ya kimaendeleo

GK,AY na Mwana FA hao wote mambo safi watoto wa Upanga wazee wao walikuwa na connection kwenye system so kutoboa hao kwao siyo ngumu.

Tofauti na hao TMK wengi utakuta ni watoto wa wavuvi,wafanyakazi wa wahindi na washinda masokoni.
AY na mwana FA wazazi wao walikua kwenye system gani?
 
Mbona o-ten yupo tu morogoro hana mbele wala nyuma

Kwa ufupi tu dawa zimemuharibu na sasa kawa chiz
Umeandika UONGO MAN na sio vizuri kabisa.. kweli O-Ten yupo Moro na ukweli ni Hatumii Dawa labda kama haumaanishi Unga... Tuzungumzie mengine kwa hili Umedanganya Sana. Zaidi muda wowote utakaokutana nae amependeza na anaweza kwenda sehem classic yoyote na asishangaze.
 
Back
Top Bottom