Munch wa annabelletz47
JF-Expert Member
- Aug 13, 2019
- 1,885
- 3,227
Wakuu sasa nimerudi mjini kutoka kijiji Mbeya, hapa nina ideas kama 10 zikupiga hela za Watanzania kihalali bila kutumia nguvu.
Huku soko langu kubwa likiwa:
1. Wazee wanaoogopa kufa
2. Wamama watu wazima na mabonge
3. Wadada wasioshika mimba
4. Mambo ya homoni na hedhi (vbinti na vkaka vya 2000)
5. Wagonjwa wa saratani, kisukari na BP.