Mjini njoo na akili, pesa utazikuta

Mjini njoo na akili, pesa utazikuta

Munch wa annabelletz47

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2019
Posts
1,885
Reaction score
3,227
Wakuu sasa nimerudi mjini kutoka kijiji Mbeya, hapa nina ideas kama 10 zikupiga hela za Watanzania kihalali bila kutumia nguvu.

Huku soko langu kubwa likiwa:

1. Wazee wanaoogopa kufa
2. Wamama watu wazima na mabonge
3. Wadada wasioshika mimba
4. Mambo ya homoni na hedhi (vbinti na vkaka vya 2000)
5. Wagonjwa wa saratani, kisukari na BP.
 
Wakuu sasa nimerudi mjini kutoka kijiji mbeya, hapa nina ideas kama 10 zikupiga hela za WATANZANIA kihalali bila kutumia nguvu.
Huku SOKO langu kubwa likiwa
1.Wazee wanaogopa kufa
2. Wamama watu wazima na mabonge
3. Wadada wasioshika mimba
4. Mambo ya homoni na hedhi (vbinti na vkaka vya 2000)
5. Wagonjwa wa saratani, kisukari na BP.
Na vijana tunaoogopa kufa hautusaidii?
 
Wewe ni kama huyu eti
Screenshot_20240808_163834_Instagram~2.png
 
Wakuu sasa nimerudi mjini kutoka kijiji Mbeya, hapa nina ideas kama 10 zikupiga hela za Watanzania kihalali bila kutumia nguvu.

Huku soko langu kubwa likiwa:

1. Wazee wanaoogopa kufa
2. Wamama watu wazima na mabonge
3. Wadada wasioshika mimba
4. Mambo ya homoni na hedhi (vbinti na vkaka vya 2000)
5. Wagonjwa wa saratani, kisukari na BP.
Jipange upya mzee
 
Back
Top Bottom