Sonia G
JF-Expert Member
- Jul 13, 2014
- 3,071
- 3,909
Unaulizwaje wakati hata ukizikwa nazo zinaoza tuSiku ya ufufuo utaulizwa figo uligawa kwa nani? Halafu utabaki unambwelambwela hapo ndio utaelewa Tanzanite kwao Tanzania
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaulizwaje wakati hata ukizikwa nazo zinaoza tuSiku ya ufufuo utaulizwa figo uligawa kwa nani? Halafu utabaki unambwelambwela hapo ndio utaelewa Tanzanite kwao Tanzania
Mzee umekuja mjini juzi nini? Comment zako zote lazima uweke hiyo pichaTenda hiyo apewe Mshana Jr ndio kazi zake hizoo mwambie aandae helaView attachment 2028414
Sent from my TECNO-N2 using JamiiForums mobile app
Kwanini usiende kuzikwa kwenu dada,uzikwe huko ugenini? Au we ni muislamu?Hapana,nataka ninapoishi mimi na wanangu
Una mawazo mazuri lakini kama unatumia vilevi haitawezekanaNaomba Sana kila siku nilitaka kufa mungu anipe kauli ya mwisho ambapo nataka moyo,Figo na maini yangu vivunwe na kuwasaidia watu ambao wanavyo uhitaji.
Ile sheria ya uvunaji wa viungo naisubiri kwa hamu sana
Hapana usimdanganye, mwambie ajaribu kufutilia Mahakamani ajue kama linafaa kisheriaNi uncle wangu yupo kwenye 50 huko.
Kwa kipindi kama cha miaka mitatu amekuwa akiwa na msimamo wa kutaka kuchomwa akifa.
Familia yake ilikataa kwa hio kaja kwangu maana tupo karibu.
nami sio muumini wa hizi ishu, huwa nampa tu sapoti ya kinafki 😁.
Je nimwambie ukweli sitaweza kutekeleza anachotaka au nimdanganye tu ili kumfurahisha ila kama kawaida maafa yakimkuta atazikwa tu kwa utaratibu wa kawaida.
Msikilize na mkubaliane mapema.. Akidondoka leo hamjaweka sawa itakula kwenyuNi uncle wangu yupo kwenye 50 huko.
Kwa kipindi kama cha miaka mitatu amekuwa akiwa na msimamo wa kutaka kuchomwa akifa.
Familia yake ilikataa kwa hio kaja kwangu maana tupo karibu.
nami sio muumini wa hizi ishu, huwa nampa tu sapoti ya kinafki [emoji16].
Je nimwambie ukweli sitaweza kutekeleza anachotaka au nimdanganye tu ili kumfurahisha ila kama kawaida maafa yakimkuta atazikwa tu kwa utaratibu wa kawaida.
Mizimu tena?Mwambie ukweli kuwa huwezi ukimdaganya akifa na asichomwe mzimu wake utakutesa mpaka ufanyiwe matambiko ya kimila shauri yako
Cha msingi mwambie ukweli Ili ajue hutaweza kumtekelezea jambo lake.View attachment 2028494
Kwa kipindi kama cha miaka mitatu amekuwa akiwa na msimamo wa kutaka kufanyiwa mazshi kwa kuchomwa mauti yakimkta na niende kupeperusha majivu yake kijijini, sehemu aliyokuwa akiipenda.
Familia yake ilikataa kwa hio kaja kwangu maana tupo karibu.
Huduma hii ya mazishi natambua kwamba ipo hata hapa nchini, inaitwa cremation, lakini imezoeleka kwa kiasi kikubwa kutumika na wahindi wanaofata mila na tamaduni zao.
Kwa tamaduni zetu hizi za hapa kwetu na hata kwa dini, huu utaratibu haujazoeleka kiukweli, kwa hiyo hata mimi siwezi kumtekelezea anachotaka, pia hata familia yake nayo imekataa, sipendi kuanzisha taharuki.
Huwa nampaga tu sapoti ya kinafki [emoji16] maana ni mjomba tuliezoeana sana.
Je nimwambie ukweli kwamba sitaweza kutekeleza anachotaka au nimdanganye tu ili kumfurahisha ila kama kawaida maafa yakimkuta atazikwa tu kwa utaratibu wa kawaida.
ni nchi za wenzetu wenye tamaduni zao.pagumu mkuu.
ila nchi za wenzetu huo ni uamuzi wa mtu binafsi, na wengine wanagawa kabisa viungo vyao kwa ajili ya research za spitali au kuwasaidia watu wengine.
Sijawahi kutumia kilevi chochote mkuu
Mkuu Kuna faida gani kuzikwa na vitu ambavyo Kuna watu wanavihitaji ?huu Ni ubinafisiMkuu Bora uzikwe na viungo vyako tu.
ana kichaa kwani yeye baniani. kama kwake kuchomwa muhimu mwambie ajichome ndo afe kuondoa utataView attachment 2028527
Kwa kipindi kama cha miaka mitatu amekuwa akiwa na msimamo wa kutaka kufanyiwa mazshi kwa kuchomwa mauti yakimkuta
Sababu zake mpaka sasa hazijaniingia akilini, yeye hataki mwili wake uoze taratibu, sijui mambo ya mwili kutumika msukule, kuhofia kwamba ataamka akizikwa 😂 😂 n.k.
Familia yake ilikataa kwa hio kaja kwangu, kaniomba nimsaidie hio ishu na pia niende kupeperusha majivu yake kijijini sehemu aliyokuwa akiipenda utotoni.
Huduma hii ya mazishi natambua kwamba ipo hata hapa nchini, inaitwa cremation, lakini imezoeleka kwa kiasi kikubwa kutumika na wahindi wanaofata mila na tamaduni zao.
Kwa tamaduni zetu hizi za hapa kwetu na hata kwa dini, huu utaratibu haujazoeleka kiukweli, kwa hiyo hata mimi siwezi kumtekelezea anachotaka, pia hata familia yake nayo imekataa, sipendi kuanzisha taharuki.
Huwa nampaga tu sapoti ya kinafki 😁 maana ni mjomba tuliezoeana sana.
Je nimwambie ukweli kwamba sitaweza kutekeleza anachotaka au nimdanganye tu ili kumfurahisha ila kama kawaida maafa yakimkuta atazikwa tu kwa utaratibu wa kawaida.