Mjomba wangu ni taxi driver Arusha lakini anatongozwa sana na wanawake wazuri, ninamuonea wivu nifanyeje!?

PSL god

JF-Expert Member
Joined
Nov 18, 2023
Posts
8,435
Reaction score
6,476
Heri ya mwaka wanajf

Kwa wakazi wa Arusha tunajua vilivyo huu mji ulivyobarikiwa na pisi kali za kila aina hadi sio poa

Sasa tuingie kwenye mada Kama kichwa cha habari kinavyosema hapo juu nina mjomba wangu mmoja yuko kwenye 50's+ lakini kwenye maisha yake wanawake hawajawahi kumpa shida yeyote kabisa yaani huyu jamaa ni kwa vile tu ni mtu wa Mungu na maombi kwa sana ila kama sio hivyo ungekuta amezini na wanawake wengi sana

Mjomba wangu huyu kaanza hii kazi kitambo sana kama miaka 15 nyuma huko ya tax driver lakini idadi ya wanawake wanaomtongoza ni hatari inaweza fika 200+ hadi wanafunzi 🤣 kwa miaka yote hiyo ya kazi na ushahidi ninao maana nimewahi kuonyeshwa kwenye simu yake na yeye mwenyewe kabisa ni hatari wakuu

Juzi kati kuna mmama mtu mzima tu wa 45+ kafunguka kwake tena ni pisi kali balaa mmama wa moto matako yako ya haja, sura ipo, yaani kaumbika wakuu

Sasa mimi nikionaga vile mi huwa inaniuma kichizi huyu jamaa hatumii nguvu yeyote ile hata hela hana za kutisha lakini wanawake wanampapatikia sana

Mimi huku hadi nipate mwanamke ni msala hapo nimesota balaa hata kwa hawa wabovu huwa inakuwaga ni kazi kwelikweli lakini yeye walaa simpo tu

Wakuu nipeni mbinu ya kuondoa huu wivu maana unanitesa balaa sijawahi kupata pisi kali hata wa kusingiziwa maisha yangu yote na uzee unaanza kubisha hodi

Kabla sijasahau ana muonekano wa kawaida tu kama wangu kwaiyo msije kusema ni handsome hamna haipo hivyo kabisa

Inauma 😔😔😔😔
 
Story za facebook usilete huku
 
Back
Top Bottom