elmagnifico
JF-Expert Member
- Jul 7, 2011
- 8,261
- 9,733
- Thread starter
- #21
Sijajua mkuu ila nadhan matukio mengine wanayatumia kwenye movies mbali mbaliInatisha kwakweli, hivi hawajaitungia movie hiyo story
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijajua mkuu ila nadhan matukio mengine wanayatumia kwenye movies mbali mbaliInatisha kwakweli, hivi hawajaitungia movie hiyo story
Utamsubiri sana huyo Yesu na hatarudi ng'o. Mmedanganywa sana nyie...Nitakua nishakufa na Yesu kasharudi so Huko patakua peponi..
I like it mkuu una akili kubwa sanaLa ISIS ningekubali kama wasingevurumishwa Iraq na syria lakini wanahamia kwingine kama Ikwiriri, Amboni, Somalia Kenya.
Clone hiyo iliishaanza tunaona mpaka kuna mbwa wenye sura za ajabu ambao wanazalishwa lakini siyo kwamba ni mbegu yao.
Kwenda kwenye Mars hata tusubiri on Sunday kile chombo kilichotumwa kwenye seventees kinakuja kufia kwenye sayari ya saturn. Kitatueleza siri tusiyoijua ya hiyo sayari. Vile vya mars vilishagundua na bado vipo busy.
Aliens tumeambiwa kwenye mapokeo na wapo wanaothibithisha kuwa hawa viumbe walishakuja. Watu wanauliza jinsi mapyramids ya South Amerika, Egypty kweli hayakupata usaidizi na kuhusu kanisa la mtakatifu Mary kule Ethiopia lililojengwa kwa kukata mwamba lilijengwaje? We are not alone.
Maua kawaida yana harufu lakini sasa hivi ua zuri lakini huna harufu sababu ya kuclone na sisi tumekuwa kama hao wanaokuja.
Je, Watanzania tutakuwa watu wa mwisho kuwa wenye akili nikimaanisha wagunduzi? Mnitoe mimi nimezeeka ila vijana ambao wanashinda humu wanaongea upupu kwa nini msianzishe group ya JF innovation group halafu mkatuomba hata contribution ili mradi mnasema mnataka kugundua nini, mko wapi na mna uwezo gani badala ya kwenda kwenye udaku na mahusiano na miziki ambayo you are not part of it.
Msipofanya hivyo climate change itakuja kabla hata sisi hatujaisha na nyinyi mtabaki yatima wenye njaa.
Nawakilisha.
cc. elmagnifico
Thanks quotedI like it mkuu una akili kubwa sana
“Start where you are. Use what you have. Do what you can.”
Just google baba Vanga utapata sources zaidi ya miaTupe chanzo hii taarifa tujifunze zaidi mkuu.
4599daah, hakuna sehemu hata amesema binadamu wataishi milele?
Vipi haja tabiri kurudi kwa kristo?Sijajua mkuu ila nadhan matukio mengine wanayatumia kwenye movies mbali mbali
Teh teh teh..hapo ni pagumu ndugu