Mjue Baba Vanga na maajabu ya ajabu

Mjue Baba Vanga na maajabu ya ajabu

La ISIS ningekubali kama wasingevurumishwa Iraq na syria lakini wanahamia kwingine kama Ikwiriri, Amboni, Somalia Kenya.
Clone hiyo iliishaanza tunaona mpaka kuna mbwa wenye sura za ajabu ambao wanazalishwa lakini siyo kwamba ni mbegu yao.
Kwenda kwenye Mars hata tusubiri on Sunday kile chombo kilichotumwa kwenye seventees kinakuja kufia kwenye sayari ya saturn. Kitatueleza siri tusiyoijua ya hiyo sayari. Vile vya mars vilishagundua na bado vipo busy.
Aliens tumeambiwa kwenye mapokeo na wapo wanaothibithisha kuwa hawa viumbe walishakuja. Watu wanauliza jinsi mapyramids ya South Amerika, Egypty kweli hayakupata usaidizi na kuhusu kanisa la mtakatifu Mary kule Ethiopia lililojengwa kwa kukata mwamba lilijengwaje? We are not alone.
Maua kawaida yana harufu lakini sasa hivi ua zuri lakini huna harufu sababu ya kuclone na sisi tumekuwa kama hao wanaokuja.
Je, Watanzania tutakuwa watu wa mwisho kuwa wenye akili nikimaanisha wagunduzi? Mnitoe mimi nimezeeka ila vijana ambao wanashinda humu wanaongea upupu kwa nini msianzishe group ya JF innovation group halafu mkatuomba hata contribution ili mradi mnasema mnataka kugundua nini, mko wapi na mna uwezo gani badala ya kwenda kwenye udaku na mahusiano na miziki ambayo you are not part of it.
Msipofanya hivyo climate change itakuja kabla hata sisi hatujaisha na nyinyi mtabaki yatima wenye njaa.
Nawakilisha.
cc. elmagnifico
I like it mkuu una akili kubwa sana

“Start where you are. Use what you have. Do what you can.”

 
Tupe chanzo hii taarifa tujifunze zaidi mkuu.
 
Back
Top Bottom