Mjue Bakhresa katika picha na matajiri wenzake 10 waliopo Tanzania

Mbona diamond simuoni kwenye list hapa?

Yaani umeniwahi nilitaka kusema domo yuko wapi maana tulisikia kanunua mtaa wa kijitonyama sijui alinunua kimove ana bill kwenye acc hahahha mtu anavijisent vya kubadilisha mboga Kelelel nyingi mjini
 
Yaani umeniwahi nilitaka kusema domo yuko wapi maana tulisikia kanunua mtaa wa kijitonyama sijui alinunua kimove ana bill kwenye acc hahahha mtu anavijisent vya kubadilisha mboga Kelelel nyingi mjini

Hater tu wewee... Eti VIJISENTI... I hate diamond... But, aise, WEWE NI HATER WA UKWEEEE
 
Bakhresa kauza sana pembe za ndovu kipindi hicho Watanzania hawajazinduka. Akahamia kwenye sembe. Utajiri wake kiasi kikubwa umeanzishwa na mambo ya kishetani.

Hahahah Wivu wakiseng.e halafu katika top 10 makafiri wapo wawili tu yaani 20% tu

Cc faiza foxy
 
Last edited by a moderator:
ALLY EDHA AWADH, mmiliki wa Lake Group hayupo kwenye hii list?
 
Hapo zaid ya rostam na bakhresa wengine wote madeni matupu bank.utajiri wa makaratasi
 
Bakhresa kauza sana pembe za ndovu kipindi hicho Watanzania hawajazinduka. Akahamia kwenye sembe. Utajiri wake kiasi kikubwa umeanzishwa na mambo ya kishetani.

Samahani Sana... WEWE uliomba kazi kwake akakunyimaa?
Tafadhali kama una kithibitisho tuweke hapa.
WATanzania lini tutajirekebisha na kuvunia uchumi na wanauchumi, wafanya Biashara hodari, waajiri timamu.
 
Hahahah Wivu wakiseng.e halafu katika top 10 makafiri wapo wawili tu yaani 20% tu

Cc faiza foxy

hapa kuna shida kweli kweli,sasa watu wakisena hao wasio makafiri wana tumia majini kupta huo utajiri uta chukia? shame on you idiot.
 
Last edited by a moderator:
Hahahah Wivu wakiseng.e halafu katika top 10 makafiri wapo wawili tu yaani 20% tu

Cc faiza foxy

Kafiri namba moja ni yule jamaa aliyepigwa akakimbilia Ethiopia ili kujiokoa. Na alikuwa hajui kusoma wala kuandika.
 
Ukiwa na Yesu unakuwa tajiri wa milele. Tena yeye anatupa utajiri bure na si utajiri wa kimajini kama wa huyo unayemtetea.

Hio list ingekuwa na wagalatia wengi usingeropoka haya maneno.

Sasa mmeishiwa unatuletea habari ya Yesu!

Kaa mbali wewe unachafu mazingira hapa na hio chai maarage yako.
 
Ndani ya miaka 5 tu na mimi nitaanza kuongelewa, ktk miaka 10 ijayo tayari naongelewa in africaa na duniani nikimake headlines mbalimbali
 
kama unaweza naomba orodha ya matajiri 40 bora Tanzania,jitahidi sana kwani ninaamini kwa utafiti wako wa kitandawazi,tutanufaika sana,nawasilisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…