Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona diamond simuoni kwenye list hapa?
Yaani umeniwahi nilitaka kusema domo yuko wapi maana tulisikia kanunua mtaa wa kijitonyama sijui alinunua kimove ana bill kwenye acc hahahha mtu anavijisent vya kubadilisha mboga Kelelel nyingi mjini
Bakhresa kauza sana pembe za ndovu kipindi hicho Watanzania hawajazinduka. Akahamia kwenye sembe. Utajiri wake kiasi kikubwa umeanzishwa na mambo ya kishetani.
Mbona hujataja matajiri wetu wa huku Arachugga? Hamjui kuwa Arusha ndio inaongoza kwa kuwa na mabilionea?
Kakope na wewe uwe millionaire!Hapo zaid ya rostam na bakhresa wengine wote madeni matupu bank.utajiri wa makaratasi
Bakhresa kauza sana pembe za ndovu kipindi hicho Watanzania hawajazinduka. Akahamia kwenye sembe. Utajiri wake kiasi kikubwa umeanzishwa na mambo ya kishetani.
Du! Wabongo kwa majungu tuu!!
comments kama hizo mara nyingi hutolewa na masikini wa kutupwa.
Brain washed.Ukiwa na Yesu unakuwa tajiri wa milele. Tena yeye anatupa utajiri bure na si utajiri wa kimajini kama wa huyo unayemtetea.
Ukiwa na Yesu unakuwa tajiri wa milele. Tena yeye anatupa utajiri bure na si utajiri wa kimajini kama wa huyo unayemtetea.