sonofobia
JF-Expert Member
- Jun 21, 2015
- 1,171
- 4,295
Anaitwa Benson Kigaila.
Cheo chake Naibu Katibu Mkuu Bara - CHADEMA.
Hajawai kuchaguliwa wala kupigiwa kura ila ameongoza miaka mingi CHADEMA.
Mke wake yupo bungeni ni mmoja wa wale COVID-19.
Ameshasema yeye sio muumini wa ukomo wa uongozi ikiwezekana hata Rais wa nchi asiwekewe ukomo wa uongozi kama ilivyo ndani ya chama chake CHADEMA.
Amekuwa akilalamikiwa kwenye chaguzi nyingi anazotumwa kusimamia uwa anafanya kazi chafu za mwenyekiti.
Ni mtu wa kuchunga kuelekea uchaguzi wa Chadema mwezi January. Timu Lissu macho yenu yawe kwa huyu mwamba siku ya uchaguzi maana ana historia ya kupindua meza dakika za jioni kama Kibu au Mudathir.