Mjue Benson Kigaila - kijana mtiifu wa Mbowe

View attachment 3178920

Anaitwa Benson Kigaila.
Cheo chake Naibu Katibu Mkuu Bara - CHADEMA.

Hajawai kuchaguliwa wala kupigiwa kura ila ameongoza miaka mingi CHADEMA.

Mke wake yupo bungeni ni mmoja wa wale COVID-19.

Ameshasema yeye sio muumini wa ukomo wa uongozi ikiwezekana hata Rais wa nchi asiwekewe ukomo wa uongozi kama ilivyo ndani ya chama chake CHADEMA.

Amekuwa akilalamikiwa kwenye chaguzi nyingi anazotumwa kusimamia uwa anafanya kazi chafu za mwenyekiti.

Ni mtu wa kuchunga kuelekea uchaguzi wa Chadema mwezi January. Timu Lissu macho yenu yawe kwa huyu mwamba siku ya uchaguzi maana ana historia ya kupindua meza dakika za jioni kama Kibu au Mudathir.
Sipati picha hali ingekuwaje kama angekuwa ni mteule wa Lissu halafu mke wake ni mmoja wa wale COVID19
 
View attachment 3178920

Anaitwa Benson Kigaila.
Cheo chake Naibu Katibu Mkuu Bara - CHADEMA.

Hajawai kuchaguliwa wala kupigiwa kura ila ameongoza miaka mingi CHADEMA.

Mke wake yupo bungeni ni mmoja wa wale COVID-19.

Ameshasema yeye sio muumini wa ukomo wa uongozi ikiwezekana hata Rais wa nchi asiwekewe ukomo wa uongozi kama ilivyo ndani ya chama chake CHADEMA.

Amekuwa akilalamikiwa kwenye chaguzi nyingi anazotumwa kusimamia uwa anafanya kazi chafu za mwenyekiti.

Ni mtu wa kuchunga kuelekea uchaguzi wa Chadema mwezi January. Timu Lissu macho yenu yawe kwa huyu mwamba siku ya uchaguzi maana ana historia ya kupindua meza dakika za jioni kama Kibu au Mudathir.
Tunaanza kuelewa sasa kwa nini CHADEMA kinaitwa cha wachaga
 
Hahahahahahaa! Na zile nyusi zake akadanganya umma
Yaani wanatuonaje aisee embu fikiria wanalala nyumba moja na hata kitanda kimoja,jitu zima unakuja na uwongo wa aima hii aisee
 
Genge la wahuni.
Hivi hakuna wasomi walio elimika wakawa viongozi?
 
Hakuna nilicho kijua kama ulivyo sema tumjue.
All the best
 
Genge la wahuni.
Hivi hakuna wasomi walio elimika wakawa viongozi?
Kwa chadema ya mzee Mbowe ,wasomi wengi walitimka wenyewe,wale vilaza waliopewa madara ni shida wanatumia hadi mbinu chafi ili mradi tu wasikike wao tu ,mfano halisi ni Lema
 
Yaani wanatuonaje aisee embu fikiria wanalala nyumba moja na hata kitanda kimoja,jitu zima unakuja na uwongo wa aima hii aisee
Si ndio maana waliwaita Nyumbu wa Mbuga ya Serengeti!🤣🤣
 
View attachment 3178920

Anaitwa Benson Kigaila.
Cheo chake Naibu Katibu Mkuu Bara - CHADEMA.

Hajawai kuchaguliwa wala kupigiwa kura ila ameongoza miaka mingi CHADEMA.

Mke wake yupo bungeni ni mmoja wa wale COVID-19.

Ameshasema yeye sio muumini wa ukomo wa uongozi ikiwezekana hata Rais wa nchi asiwekewe ukomo wa uongozi kama ilivyo ndani ya chama chake CHADEMA.

Amekuwa akilalamikiwa kwenye chaguzi nyingi anazotumwa kusimamia uwa anafanya kazi chafu za mwenyekiti.

Ni mtu wa kuchunga kuelekea uchaguzi wa Chadema mwezi January. Timu Lissu macho yenu yawe kwa huyu mwamba siku ya uchaguzi maana ana historia ya kupindua meza dakika za jioni kama Kibu au Mudathir.
ni mpiga maji mzuri mno,
na lisu hamsigelei hasa kwenye siasa za ndani ya kaamati kuu, ni mkaksi mno kwa Lisu.

wote wametoka kanda ya kati.
Moja dodoma na mwingine Singida 🐒
 
Amekuwa akilalamikiwa kwenye chaguzi nyingi anazotumwa kusimamia uwa anafanya kazi chafu za mwenyekiti.
Aisee! Sasa CHADEMA wanalalamika nini rafu za uchaguzi wa serikali za mitaa 😯
Je, Lissu asingetia nia tungeyajua haya...
 
Hajawai kuchaguliwa wala kupigiwa kura
JIFUNZE HII: Katibu mkuu huwa hapigiwi kura pahala popote pale hapa duniani. Hao ni "technocrats" wa chama cha siasa au taasisi nyingine yoyote ile.

Hao ndio wataalam (engines) za taasisi na wanaijua taaluma hiyo nje ndani.

Wataalam na watunga sera wote katika taasisi, kiongozi wao number moja ni Katibu mkuu.
 
Watu wanao muunga mkono Lissu kwa move yake hi ya sasa hivi is either wakapimwe akili or wana pretend. Lissu ni makamu mwenyekiti wa Chadema, amekua mwana sheria mkuu wa chama for years, Lissu ni mwana sheria mbobevu hapa Tanzania, hivi unaweza kuituhumu taasisi unayoifanyia kazi public? Ethics za kiongozi hapo zikoje? Mnamkumbuka the former katibu mkuu wa ccm bwana Horace Kolimba? Alitamka jambo kuhusu chama chake akiwa kaachana na uongozi, alikufa.
Mnamkumbuka Augostine Lyatonga Mrema? Alikua waziri, akatamka maneno fulani bungeni, aliyekua waziri mkuu wa wakati huo alimfukuza pale pale na kumvua nyadhifa zake zote, Mrema alirudi Moshi, Chadema walitupa ndoano kwake, hawakufanikiwa, akahamia NCCR Mageuzi, kilicho fuata ni historia. Wote hao walicho kisema kilikua ni kweli, tena kwa 💯 but walifukuzwa, huwezi kutuhumu taasisi unayo iongoza public halafu uungwe mkono. Nilikua shabiki mkubwa wa Lissu, kwa matamshi yale, nimemdharau mno. Ni mtu ambaye kafanya jambo la kukosea maadili ya kiuongozi; ni wapuuzi pekee yao wanaweza kumpa KURA kwa uchaguzi wao. Mbowe anaendelea kuonekana kama mtu mwenye busara na hekima sana.
Mimi sio mwana Chadema though kuna wana siasa ninao wakubali sana, CCM wapo, upinzani as well, Lissu nimemtoa kwenye list yangu
 
Back
Top Bottom